MSANII maarufu wa vichekesho Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema amekoma kuwa kiongozi misibani kwa sababu ya matusi anayovuna akishika nafasi hiyo. Steve aliiambia Za Motomoto News...
STAA wa R&B, Ed Sheeran yamemkuta! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine baada ya familia ya aliyekuwa mkali wa muziki huo, marehemu Marvin Gaye kutaka ilipwe dola milioni 100 (zaidi ya bilioni...
Mwili wa mtoto Patrick umefikishwa viwanja vya Leaders kutoka hospitali ya Mwananyamala unaagwa na ndugu, jamaa na marafiki
Habari zaidi, soma=>TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick...
Huu wimbo wake mzuri sana sana angekuwa kaumba Nandy nahisi angepiga show za kutosha ila tatizo nyota.
Ila pia sifa apewe Ibra Nation kwa uandishi na Melody nzuri.
Nimeangalia mahojiano mengi ambayo amefanya muna baada ya kuokoka akizungumzia maisha ya wokovu na ufahamu wa kimungu, nimegundua kuwa Muna unaupeo mdogo sana wa uelewa, pia inaonyesha maisha yake...
Licha ya kuahidi kuwakabidhi nyumba kila mmoja kwenye kundi la Yamoto band Mkurugenzi na mwanzilishi wa Yamoto band na TMK Wanaume, Said Fella jana alimkabidhi kiongozi wa Yamoto band Aslay gari...
Baada ya Rayvanny msanii kutoka wasafi classic inayomilikiwa na Diamond Platinumz a.k.a Simba kupima HIV maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuweka hadharani matokeo huku akiwasii wasanii wenzake...
Waungwana habari zenu naamini mko swalama salimini,leo nimeamua kuuleta ukweli juu ya masuperstaa wakubwa hapa bongo yaani wasanii wenye nafasi zao kubwa katika ladha ya bongo(bongoflavour) na...
-Kupitia ukurasa wa Instagram wa Zamaradi mketema amethibitisha kuwa mtoto wa Munalove almaarufu kama patsmartboy amefariki dunia mda mfupi uliopita
-Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita...
Msanii wa hip hop Dogo Janja amekanusha tetesi za kujihusisha kimapenzi na muigizaji wa zamani na mfanyabiashara Muna Love kwa kusema hajawahi kuwa na mahusiano na habari hizo zinamuweka sehemu...
Drama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa...
Kweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard...
Wakuu,
Hii ni mara ya pili msanii huyu wa kitambo kwenye Bongo movie anapata tuzo huko nje ya nchi.
Ila hakuna mbwembwe za kupokelewa kama Lulu..
Inamaana hata Wizara ya habari hawaoni kazi...
Sakata la Muna ni moto lakini mbele ya maji haufui joto. Si ajabu kesho mkaambiwa Familia ya Muna imezika kimya kimya maana ina haki ya privacy na ni swala la kifamilia.
Mkanganyiko uliopo hadi...
Niende moja kwa moja kwenye mada leo tar 06/07/2018 mida hii ya 23:19 nacheki shilawadu ambao wanaendelea kutujuza kwenye updates kuhusiana na msiba wa mtoto patrick wa munalove.
Kitu...
Huyu dada jamani kaharibu kwa kina Esma weee sasa kahamia kwa Muna Casto na Peter. Anapendaga kujifanya yeye ndo dada wa wanaume kupita dada zao halisi. Hii issue ya Pat kuwa mtoto wa nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.