Diamond kucopy na kupaste

Barcelona763

Member
Mar 9, 2018
26
21
Diamond adaiwa kuwa ame copy na kupaste wimbo wake mpya was baila kutoka wimbo original saans.
Alichocopy inadaiwa mavazi na location ya video shoot


Hii si mwanzo zingine kama

Wimbo wa kidogo ( original Tyga for the road)
Wimbo wa salome (original p square e no eazy)
 

Attachments

  • IMG_20180719_131116.jpg
    IMG_20180719_131116.jpg
    85.8 KB · Views: 45
Madai yako hayana msingi kwa kuwa hakuna jipya chini ya jua bali kuna muendelezo na maboresho kwa yale yaliyopita......

Mwache kijana mwenzio afanye kazi na kujiletea maendeleo
 
Hata wewe umecopy kwa mwandishi wa habari jinsi ya kuandika habari
 
Ndivyo mlivyo team kiba,ninyi mmezoea kuona wimbo mmoja kwa miaka mitatu tuu
 
Back
Top Bottom