Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kikwete atua Dar awahoji mawaziri * Awataka kuelezea mikoa waliyotembelea * Zitto uso kwa uso na Karamagi uwanja wa ndege * Wasalimiana kwa kupeana mikono * Alikuwa kwenye ndege...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Balozi Daraja inasemekana alifukuzwa kazi akiwa katika msafara wa Rais nchini marekani, baada ya muda wake waziada kuisha , na kurudi nyumbani kwa kupangiwa kazi nginine, muheshimiwa huyu kwa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nani mtanzania wa kwanza kutupia video YouTube???
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Holy guacamole! Her soccer skills though....do they match her twerking skills?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna taarifa kwamba, Yussuf Manji, amechanganyikiwa kwa kula unga, huku baadhi ya watu wakidai kwamba amelogwa na Simba, wakati ndugu zake wakawa wanasema tokea jana alizidisha kubwia unga hadi...
0 Reactions
112 Replies
19K Views
yule mkongwe wa bongo fleva ameachia video mpya..wachambuzi wa masuala ya muziki wanadai ngoma hii itamrudisha rasmi kwenye game ..stay tuned
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu kijana hamisa amemtoa wapi jamani mbona mzuri hivi? Akija nae bongo itabidi akapokelewe airport
2 Reactions
67 Replies
10K Views
Sauda Mwilima akishuka kwenye gari kuelekea ukumbini. ...Akitoa ‘tabasamu la mwaka’. ...Akielekea ukumbini. Bwana harusi (katikati koti jeusi)… Sauda Mwilima...
0 Reactions
84 Replies
18K Views
Top 10 Most Beautiful Female Politicians In The World 2018 Wanawake wanasiasa wazuri sana duniani,list hii ina mashaka kwa sababu hakuna hata Muafrika mmoja,wameweka vimwana vya rangi nyingine...
1 Reactions
91 Replies
17K Views
Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu baada ya ukimya wa muda mrefu katika mtandao wa Instagram, ameweka post yake ya kwanza ndani ya mwaka 2017 huku akiwaahidi mashabiki wake mambo mazuri ndani ya...
5 Reactions
78 Replies
9K Views
Staa wa bongo muvi Tanzania beautiful onyinye Wema Isaac Sepetu amemkumbuka ex wake ambaye ni model mtanashati Luis Munana Wema aliandika maneno kuashiria amelikumbuka penzi lake na Luis na...
4 Reactions
33 Replies
9K Views
STAA wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ' Shilole' amesema sababu kubwa ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni kuombwa msamaha. Shilole alisema mpenzi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mimi sio hater Dada zetu povu ruksa, Wanawake wa kibongo huwa wanajua kila mnyamwezi ni mnyamwezi kwelikweli,wanyamwezi wngine ni kama wakina Papa Mafido,bado wanaprint . Kumbe shemeji yenu njaa...
13 Reactions
76 Replies
10K Views
kwa siku za karibuni kumekua na kelele byingi zinazohusu mahusiano jinsia moja ! Ambapo wasakwa ni mashoga na wasagaji ! Kundi la WCB likiongozwa na Diamond limekua likitunga na kutoa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Muigizaji marufu na x-girlfriend wa Diamond platnumz, Wema Sepetu amechukua fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia CCM. Akiongea na host wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm...
3 Reactions
552 Replies
73K Views
WCB , Diamond na Rayvanny wametozwa tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza' BASATA imewatoza faini ya Tsh. Milioni 3 kila mmoja Mwanamuziki Diamond Platnumz, Mwanamuziki...
6 Reactions
105 Replies
19K Views
Jamani wenye update dogo alikuwa na radha take ya kiafrica halisi ,na moja ya watu waliotoka muda sasa na mondi asee,mtujuze you wapi
0 Reactions
27 Replies
6K Views
KOTI la kihistoria la Michael Jackson (MJ) limeuzwa katika mnada kwa Dola za Marekani 298,000 (zaidi ya Sh milioni 600) ikiwa ni mara tatu ya bei halisi ya koti hilo. Koti hilo lililonunuliwa na...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Hivi hili baraza lina matatizo gani? Sioni sababu ya kuifungia ile nyimbo kiukweli... Kwa style hii wasanii wetu watapata tabu sana. Ebu tusaidiane kwahili ile nyimbo ina tatizo kwani?!
2 Reactions
146 Replies
15K Views
Baada ya Amber Lulu kuacha mambo ya kitoto alimpa majukumu hayo mwenzake Amber Rutty, Amber Rutty alikomaa sana kuhakikisha jina Amber linakita mizizi yake kwenye skendo na kiki mbalimbali. Wakati...
3 Reactions
43 Replies
16K Views
Back
Top Bottom