Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Akuna cha bwana mpya Wala nini . hamisa kawa weza mashilawadu wa tz. Kumbe alikuwa anatafuta attention ya nyimbo. Yule jamaa mcheza nondo ya kikapu katumika kama video visk .
0 Reactions
47 Replies
11K Views
Mkongwe wa Bongo fleva afande Sele amesema Diamond platnumz hapaswi kabisa kuwahofia Clouds kwasababu anajeshi kubwa linalojitosheleza. Afande Sele" kiukweli kwasasa ukisema uchukue wasanii Bora...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Nimemuona Rc wa DSM, Ndugu Makonda akihamasisha Fiesta na kulifanyia promotion. Je ni sahihi viongozi wa kisiasa kutumika kwenye matangazo ya biashara ya makampuni binafsi? Sio Makonda pekee...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Baada ya watu kumwambia alimpendea jamaa Mjulubeng/dushe haya ndio majibu kuhusu shemeji wa zamani. Ila huyu kaka mvivu na mbinafsi kama ni kweli hizi tuhuma
4 Reactions
148 Replies
21K Views
Ni nyimbo bora yenye maudhui ya Kitanzania ambayo imepikwa wasafi records, Nyimbo ina melody nzuri na mpangilio mzuri wa mashairi huku yakiwa na ujumbe mzito Hii nyimbo yafaa kuwa nyimbo bora...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakati mwingine inabidi umsifie mtu kutokana na ubora wa kazi anayoifanya hata kabla hajafa..Hawa watu Kenny na Hanscana wanajitahidi sana katika kutengeneza music videos za bongo fleva kwa sasa...
3 Reactions
31 Replies
10K Views
SIASA hasa ya vyama vingi lazima ukubali kuwa na makundi mawili ya wanaokupenda na wanaokuchukia; utake usitake. Kwenye sanaa makundi hayo mawili hayapo! Kilichopo ni ushabiki ambao hautengenezi...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Huwa nashangaa sana kuona mtu anakuja na kuidharau wcb kisa ceo ni diamond! diamond ni mtoto mdogo sana lakini anawahenyesha wakubwa Zamani matangazo ya fiesta yalikuwa hayana vijembe na...
24 Reactions
111 Replies
12K Views
Bila shaka najua haupingiki diamond ni msanii namba moja Africa mashariki lakini aliweza kitengenrzewa beef na msanii pendwa wa muda wote alikiba hii ikiwa katika kufaidisha media lakini ki...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Kutokana magazeti ya udaku na michezo, ni ukweli usiofichika kuwa mwanaspoti mashuhuri duniani, Christiano Ronaldo ni shoga, na yeye Ronaldo hajawahi kupinga hizi shutuma hata siku moja, zaidi ya...
4 Reactions
117 Replies
37K Views
Wenyewe wanauliza Nani aongezeke hapo?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Mwanaume aliyesema kuwa alimtapeli mwanadada wema sepetu, hata baada ya kumtangaza kuwa ndie angetakiwa kuwa mme wake. Amemtumia SMS nyingi za kitisho mwanadada Wema Sepetu, kwa kumwambia kuwa...
0 Reactions
51 Replies
12K Views
Joto la upinzani wa matamasha ya music kati ya fiesta na wasafi festival linazidi kupanda kiasi Kila upande unatumia aina yoyote ya promo ili mradi kuvuta watu. Katika tangazo la clouds msanii...
5 Reactions
56 Replies
11K Views
Mwambieni mamba aseme suu me sio shabiki WA udaku lakini nataka nione mbambe Nani Kati ya dada wa taifa na konk master Aisee! Hii movie imefika patamu wacha tuone konk konk konk master
6 Reactions
141 Replies
26K Views
Baada ya Shafii kuweka hii picha,nusu jezi ya Simba nusu Azam ,aisee Manara amefyatuka kama sijui nini. Huku maneno mazito mazito yakifuata Manara huwa anapenda sana kuwatania watu hasa Yanga...
5 Reactions
56 Replies
10K Views
Siku chache baada ya WCB kutangaza tarehe ya tamasha lao,litakalofabnyika mtwara Nov 24,huku maandalizi ya kuwasign wasanii watakao perform yakishika kasi,Clouds nao wametangaza tarehe kama...
5 Reactions
152 Replies
22K Views
Harakti bado zinaendelea kama kawaida kuhusiana wimbo wa mwanamziki Rayvanny na Diamond Platnumz a.k.a Baba Tiffa wa Mwanza Nyegezi. Na mambo yapo kama hivi. Rapper Mwana FA ametinga BASATA kama...
2 Reactions
50 Replies
12K Views
Narudia huu ni ushamba. Haiwezekan mzigo ule wa vera sidika unauendea bila booster ya vumbi la Congo a.k.a mundende, puturu. Jiulize kwann lawama za watoto wakike haswa daslam zmeisha kuhusu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kikwete atua Dar awahoji mawaziri * Awataka kuelezea mikoa waliyotembelea * Zitto uso kwa uso na Karamagi uwanja wa ndege * Wasalimiana kwa kupeana mikono * Alikuwa kwenye ndege...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Balozi Daraja inasemekana alifukuzwa kazi akiwa katika msafara wa Rais nchini marekani, baada ya muda wake waziada kuisha , na kurudi nyumbani kwa kupangiwa kazi nginine, muheshimiwa huyu kwa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom