Sauda Mwilima kimeeleweka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sauda Mwilima kimeeleweka

Discussion in 'Celebrities Forum' started by TIQO, Apr 14, 2012.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Sauda Mwilima akishuka kwenye gari kuelekea ukumbini.[​IMG] ...Akitoa ‘tabasamu la mwaka’.[​IMG] ...Akielekea ukumbini.[​IMG] Bwana harusi (katikati koti jeusi)…
  [​IMG] Sauda Mwilima akishuka kwenye gari kuelekea ukumbini.[​IMG]...Akitoa ‘tabasamu la mwaka’.[​IMG]...Akielekea ukumbini.[​IMG] Bwana harusi (katikati koti jeusi) akimsikiliza sheikh.[​IMG]..Akiulizwa kama yuko tayari kumpokea Sauda.[​IMG] Sauda katika pozi.[​IMG]...Akipokea shairi kutoka kwa Maua Faki aliyelisoma katika hafla hiyo.[​IMG]...Akiwa na mama yake mzazi.[​IMG]...Akiwa na mpambe wake, Hadija Shaibu (Dida).[​IMG]...Akiwa na mumewe baada ya ndoa.[​IMG]Wakitabasamu kwa pamoja.[​IMG]Hapa akisoma msaafu.

  Source:
  Global Publishers
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hivi huu weupe ni wake au anajikoboa?
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Watu wanapenda presha za maisha kila la heri aliyemuoa
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Maimatha wa jesse @ work,mama yake mweusi tiiiii.
   
 5. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh, mie nimependa shela lake amependeza japo mh! amekuwa mweupe sana !
   
 6. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Hivi anasoma msahafu au KITABU CHA MAULID ndugu mleta mada? Msahafu hauchezewi namna hiyo !
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwenyewe nimeshangaa maza black tii au dingi ni msauzi? alafu mtoto mweupe chotara si chotara, mburushi si mburushi kumbe mchina anafanya kazi sasa ikitokea anazaa kwa operesheni inakuwaje hapo wakuu anashoneka huyu?
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Asingepaka, asingeolewa.
   
 9. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  daaah yani hiyo rangi yake mmmh.
  Aya mchina atamaliza dada zetu
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Uwiiii...hata huyu kaolewa!
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Umebakia wewe tu; na wewe jichubue!!!
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kwani ana nin hadi asiolewe?
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kwa sisi tunaofuatilia magazeti ya udaku huyu dada zaidi ya kasoro ya kujikoboa ni wife material. Hanaga makashfa ya ukicheche.

   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145


  Na wale wanaokandia wanaojichubua ni wakina nani, ama kweli kila bidhaa lina soko lake
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nampongeza sana.
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  We lazima utakuwa wife material nitangaze nia nini kama jimbo lipo wazi?
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nashangaa watu wanavyoshangaa sauda kuolewa. aendelee na utulivu wake huo huo ndoa idumu...
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ni wife material kwakweli,
  Kosa moja tu kujikoboa huyu hazai kwa operesheni ngozi isha haribiwa na mchina
   
 19. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #19
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hongera yamebaki madunga yembe yanazagaa
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ooh! Ila kila mtu atapendwa kama alivyo. Habari ya wewe?
   
Loading...