warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu baada ya
ukimya wa muda mrefu katika mtandao wa
Instagram, ameweka post yake ya kwanza ndani
ya mwaka 2017 huku akiwaahidi mashabiki wake
mambo mazuri ndani ya mwaka huu.
Muigizaji huyo ambaye ana followers milioni 2.5
kupitia mtandao huyo, ni mmoja kati ya wasanii
wa kike wenye nguvu kubwa katika mtandao
huo.
Ijumaa hii amepost picha za kwanza ndani ya
mwaka huu na kuandika:
Happy 2017… and am excited.. how
Many Likes?? Share from. This one
and am gonna Tell You something to
Celebrate for the whole Year….
[HASHTAG]#WSSoCloseToYou[/HASHTAG] [HASHTAG]#WSladieschoice[/HASHTAG]
[HASHTAG]#WSyourAddiction[/HASHTAG]
[HASHTAG]#unataka[/HASHTAG] kusikia jambo zuri kutoka
kwangu kwa mwaka 2017? Gonga
Likes za kutosha and nitarudi
kukung’ata sikio… This be your First
Image…. There is plenty of these Just
for You…. I missed You
Muigizaji huyo mwaka uliopita alihaidi mwaka
2017 utakuwa ni mwaka wake wa kazi nyingi.