Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi huyu jamaa ana watoto kweli? atajisikiaje mtoto wake akikuta anaimba hayo matusi?ama kwa hakika haya maajabu naonaga kila ijumaa akipost mambo ya mtume mohamed nikawa namuonaga mtu wa maana...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Inasemekana yuko SA kwa matibabu, hali yake bado haijawa wazi sana hatuna cha ziada zaidi ya kumuombea
4 Reactions
53 Replies
14K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha nicheke kwanza ,maana nilikuwa nawachora tu urafiki wao wa mashaka. Hivi tangu...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Mjini kiki ni WCB, WCB ni kama maji ,usipokunywa, utayaoga tu . Soudybrown amejikazaa weeeee mwishoni yamemshinda maana alikuwa ameshaanza kupoteza kundi kubwa la watu kwa kukosa habari moto moto...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Wana JF, Katika tasinia ya Muziki wa dance, kote nchini ulitamba kiasi kwamba walitoka kiingilia cha bia 2 hadi kiingilio fedha tshs elfu 10, kama wapo ambao mlishuhudia tukipishana Readers club...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Van Vicker and his Wife share their Marriage Secrets Many Celebrities find it difficult to remain in marriage. Van Vicker and his wife share what has kept them together till date.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Huyu bondia ANTHONY BELLEW ambaye amepoteza pambano usiku wa leo dhidi ya mpinzani wake Oleksander USyka ni shoga au??? Inawezekana vipi mwanaume kumbusu mara mbilimbili mwanaume mwenzako tena...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwenu wadau hivi hivi hii style ya kujiangusha kutoka south Africa mmeipokeaje?? Nimeangalia hawa wanafunzi [emoji115] nikajiuliza tukiendelea hivihivi basi tutapokea mimba nyingi maana wanaana...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
uke uke ukeeeereweee,karibu kwetu ukereweee twala samaki mkia na kichwa ushindwe weweeeeeeee uke uke ukeeee ukereweeeee aisee vijana wa sasa hivi wana vipaji kwa kweliii
7 Reactions
39 Replies
5K Views
Hebu toa maoni yako maana mimi mwenyewe nimekutananyo huko YouTube
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Msanii Ali kiba amesema amepokea salamu kutoka wasafi na anashukuru kwa mwaliko japokuwa hataweza kushiriki. Akiandika katika akaunti yake ya Instagram msanii Ali kiba ametaja sababu ya...
2 Reactions
89 Replies
14K Views
Mshiriki Miss Utalii Vyuo Vikuu Kanda ya Kati Dodoma 2011 Irene Richard (CBE) akiwa na Gideon Chipungahelo, mwandaaji wa mashindano hayo.
1 Reactions
102 Replies
20K Views
Mwanamuziki wa kimataifa,kutoka WCB,Diamond platnumz ametoa shavu kwa wasanii wachanga kutunga wimbo mfupi na kuhusu Wasafi FM 88.9 washindi watano watapata nafasi ya kurekodi bure kwenye studio...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Hata yeye amewahi kukiri mpenzi wake lady jaydee amewahi mtuhumu na scandal ya ushoga Ila yeye akapotezea, now picha yake na shoga maarufu Nigeria , bob risk imesambaa ikiwaonyesha wawili hao...
2 Reactions
45 Replies
15K Views
Tukumbushane jamani zilizobamba wakati ule. Dudu baya Konki konki konki master oil chafu mamba. Katika wimbo wake wa napenda manundu.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Video kaliii..kutoka WCB wasafiiiii chama la wana Rayvanny ft diamond platnumz .. ngoma ina kwenda kwa jina la MWANZA.. ikiwa ime tumia LOCATION kutoka MWANZA ila tukaona sio mbaya tukiwaacha...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
habari za asubuhi ndugu wana jf, natumaini mu wazima wa afya, niende moja kwa moja kwene hoja asilimia kubwa wasanii wanaotoka mwanza ndio wanaopotea kwene game kiurahisi na sijui nini kina...
2 Reactions
30 Replies
13K Views
Salama wapendwa wangu. Naomba kuuliza kitu. Mbona hizi picha za wasanii kwenye mitandao ni weupe sana kama wazungu ila ukikutana nao live weusi kama mimi tu. Nimewakilisha baadhi ya wanaume...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kudadeiki WCB noma sana, Ni jiwe baada ya jiwe, ngomaa baada ya ngoma huku kukiwa pe ya Konki konki konki master kwa mbali, yaani ni full full hata wale waliobaniwa airtime,huku unamsikiliza...
17 Reactions
56 Replies
10K Views
Msanii Harmorapa amefunguka na kuingilia ishu ya Dudu Baya kuwataja mashoga katika mitandao ya kijamii. Harmorapa anasema kuwa kama Dudu baya anajifanya kupambana na Mange kimambi baada ya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom