Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Chris Brown, R&b crooner mwenyewe kiboko ya wabana pua ndani ya Dar fiesta Noma sana, triple threat he is a super dancer great singer and great artist jamaa mchoraji hatari.
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Super business woman, Jokate Mwegelo amemuandikia AliKiba ujumbe mzuri ambao amedai umetoka kwenye sakafu ya moyo wake. Mwanamitindo huyo ambaye yupo karibu zaidi na mkali huyo wa wimbo ‘Aje’...
14 Reactions
91 Replies
15K Views
Salaam, Najiuliza kwa baadhi ya watanzania wenzetu, tatizo ni nini au tatizo liko wapi? Hivi wengine wakifanya kazi BOT, wengine wakawa TRA, wengine wakawa PUMA na wengine wakawa machinga na...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Msanii Diamond Platinumz amewapiga dongo Clauds media kwa kile alichokiita " Taratiibu Wameanza kushika adabu yao". "Mambo Yamekuwa Magumu hadi imebidi waombe poo na kuomba msaada kwa mlezi...
5 Reactions
47 Replies
7K Views
Mtoto WA Tandale ataperform nyimbo 52. Baada ya kuvutana sana kuhusu bei hatimaye Lemutuz athibitisha kushiriki.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hawa jamaa ni smart sana. Wanajua kabisa watu wa mtwara watakuwa washajazwa pesa za korosho kwa hiyo kuingia kwenye show ya 10000 kwao itakiwa sio issue. Kumbuka hapa mtu hata kama atakuwa bado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya mdau Humble African kuweka hapa uzi Wakuu!! Njooni hapa tuongee na Fareed kubanda(Fid Q). - JamiiForums Hatimaye kuna page moja Instagram nayo iliupost na hatimaye kumfikia Fid Q kama...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Marais wa dunia walitajwa kuwa ni watanashati handsome,waafrika wamo Kenyatta na Nkurunzinza wametubeba. jionee mwenyewe. 1.Justin Trudeu -PM Canada 2.Tigme Khesar Namgyel Wangchuck- King Of...
3 Reactions
105 Replies
16K Views
Wanamuziki,kama Madee, Dogo janja( huyu yupo fiesta) Keysha Kassim mganga Tunda man Mbona hawapo kwenye tamasha la wasafi festival?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
habari wadau. Now nimeelewa why kuna watu ni hard worker hawatoboi, ila kuna wengine hawatumii nguvu ila wanafanikiwa sana. nyimbo ya hamisa mobetto mpya kiukweli hata haivutii kusikiliza.. ila...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
-Binti mmoja mrembo kutoka Afrika Kusini amesisimua mitandao jamii baada ya kujitokeza waziwazi na kukiri kuwa anaishi na virusi vya HIV -Binti huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja ni thibitisho...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
habari wadau ni siku nzuri ya mapumziko ya kuzaliwa kwa mtume Mohhame Sw..nawatakia sikukuu njema. Moja kwa moja kwenye mada,kiukweli napata ukakasi sana juu ya hii taharifa inayovuma sana kwenye...
5 Reactions
35 Replies
19K Views
Unaweza kusema ukaribu wake na Diamond platnumz weekend iliyopita katika show ilifanyika Dubai umemponza mwanamuzuki Nandy baada ya jina lake kufyekelewa mbali na Clouds media kwa wale...
7 Reactions
70 Replies
10K Views
Bado siku kadhaa ili tushuhudie miamba mitatu ikitunishiana misuli katika kuonesha nani ana nguvu kuzidi mwenzake.. siku ya trh 24 nchi hii itasimama kwa muda kucheki pambano la nani atakuwa na...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
HABARI MASIKU WAUNGWANA kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview...
6 Reactions
173 Replies
21K Views
Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita... Wanajitutumua kusema ni mapinduzi...
8 Reactions
152 Replies
16K Views
Akuna cha bwana mpya Wala nini . hamisa kawa weza mashilawadu wa tz. Kumbe alikuwa anatafuta attention ya nyimbo. Yule jamaa mcheza nondo ya kikapu katumika kama video visk .
0 Reactions
47 Replies
11K Views
Mkongwe wa Bongo fleva afande Sele amesema Diamond platnumz hapaswi kabisa kuwahofia Clouds kwasababu anajeshi kubwa linalojitosheleza. Afande Sele" kiukweli kwasasa ukisema uchukue wasanii Bora...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Nimemuona Rc wa DSM, Ndugu Makonda akihamasisha Fiesta na kulifanyia promotion. Je ni sahihi viongozi wa kisiasa kutumika kwenye matangazo ya biashara ya makampuni binafsi? Sio Makonda pekee...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Baada ya watu kumwambia alimpendea jamaa Mjulubeng/dushe haya ndio majibu kuhusu shemeji wa zamani. Ila huyu kaka mvivu na mbinafsi kama ni kweli hizi tuhuma
4 Reactions
148 Replies
21K Views
Back
Top Bottom