Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Pamoja na umaarufu wake na ukubwa wa jina lake lakini huwa nyimbo za Vanessa Mdee huwa sizielewi kabisa...yaani hata ukiniuliza sasa hivi kama kuna nyimbo yake naiujua wala siwezi kukuambia...
8 Reactions
93 Replies
13K Views
Aisee mdau huyu muhimu wa bongo fleva ametimiza miaka 49, tumtakie heri ya kuzaliwa jemedari huyu
3 Reactions
179 Replies
22K Views
Message… itakuwa vipi kama RC wa dar akahamishiwa ARUSHA ? itakuwa vipi Taifa stars wakibutuliwa na LESOTHO &itakuwa vipi Amber Rutty akiachiliwa huru
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajiita wanamuziki lakini mimi nasema ni wahuni na wababaishaji ambao wameivamia fani kwa mtindo wa zima moto. Baadhi ya wanamuziki wanaojiita ni wa kizazi kipya ni janga kwa taifa kwa kuwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ?Diamond ,? Esma Abdul amerudisha mahaba na aliyekuwa mumewe , Hamad Manungwa ?Petit man ? baada ya kudaiwa kutengana , tena kwa talaka tatu ...
2 Reactions
207 Replies
30K Views
Mtoto wa anti christ Will Smith ajulikanye kama Jaden Smith akitomasana na Mwanaume mwenzake, bado watoto wa anti christ Obama nao muda siyo mrefu watamwaga radhi pia live! Will Smith ni muumini...
1 Reactions
44 Replies
20K Views
Na Stephen Chelu Habarini waku, Natumaini mko salama na mnaendelea na majukumu ya kuelekea uchumi wa kati na bila kusahau kujaribu kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Mungu atubariki kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msanii wa Bongo Flava, Msamii amesema si kweli kwamba ameshawahi kutoka kimapenzi na Nandy. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma katika mahojiano na Bongo5 amesema Nandy ni kama...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Nimeshindwa kuelewa kama hii ni spinning ama ni makosa ya mwandishi wa habari? Kichwa habari kama hicho ukisoma haraka haraka unaweza kudhani kwamba Mkuu wa Mkoa ameagiza watu wajichukulie sheria...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Aliyekuwa mke wa rais wa Marekani Michelle Obama ametoa kumbukumbu ambapo amefichua matatizo aliyopitia katika ndoa yake na uja uzito wa watoto wake wawili. Katika kitabu hicho, Becoming, Bi...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Binti wa JK aitwaye Salama Kikwete amehitimu digrii ya Doctor of Dental Surgery Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili. Hii inafurahisha kwa baadhi ya viongozi wetu kusomesha watoto...
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Rayvany ametoa wimbo mpya akishirikiana na diamond unaoitwa Mwanza Bill Shaka Hawa ni vijana wenye uwezo mkubwa wa kuimba lakini za kushangaza wametoa wimbo mbovu Sana kulinganisha na uwezo...
7 Reactions
132 Replies
38K Views
BASATA ni chombo rasmi cha serikali ambacho kinafanya kazi kwa niaba ya serikali. Leo wametangaza kuufungia wimbo wa Mwanza na kuwataka WCB wauondoe kwenye digital media zao zote. Cha ajabu ni...
2 Reactions
71 Replies
14K Views
Mchekeshaji, Steve Nyerere amesema kuna watu wasiojulikana wamekuwa wakimfutilia kwa siku tatu mfululizo hali inayotishia usalama wake. Akizungumza na MCL Digital, Steve aliyejipatia umaarufu kwa...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Nimesikia Harmonize anashikiliwa hotelini mjini Eldoret kwa kushindwa kulipa bili ya hotel hii ni baada ya kutolipwa pesa ya show nayeye kugoma kupanda jukwaani. Mlio karibu nae tupeni ukweli
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kiukweli katika vitu ambavyo vinasikitisha na kutia aibu ni kuona raia wa kigeni wakitukuza lugha yetu adhimu ya kiswahili huku sisi waswahili halisi tukipuuzia lugha yetu na kuiona kuwa ni lugha...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari Wana JF! Katika sakata hili linaloendelea la kufungiwa wimbo wa "Mwanza Nyegezi" kutoka usafini WCB na jinsi walivyokuwa wanajibizana mitandaoni kati ya WCB na Basata hiyo jana, nimepata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
BAADA ya kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na aina ya mavazi yake, msanii wa muziki na filamu, Jaden Smith, amesema ataendelea kuvaa nguo yoyote atakayoona inampendeza. Msanii...
0 Reactions
52 Replies
12K Views
Naufananisha muziki na bahari kubwa, wavuvi wapo wengi na sokoni kuna samaki wa kila aina kuna samaki wana virutubisho vingi na ni watamu kweli ila hawana soko au labda wanachukuliwa poa na walaji...
8 Reactions
21 Replies
6K Views
Ha ha ha ha ha Zarina Hassan anapata tabu sana ,sidhani hata hiyo a.k.a ya Zari The Bosslady kama anaitendea haki. Hivi kweli mtu kama Bosslady unaweza ukavaa kiatu cha elfu 10????? Balenciaga...
3 Reactions
100 Replies
15K Views
Back
Top Bottom