Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ni wimbo mpya wa safari najiuliza kwanini hajaenda wasafi wakati meneja wa AY ni mwarabu aliyezamia Tanzania Sallam
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Nasikiliza album mpya ya Nikki Mbishi titled Sam Magoli, kwenye hii album kuna ngoma inaitwa Where my crown at inayoonekana ni direct dis kwa Wakazi, kwa fan yeyote hahitaji kutumia nguvu...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
MWANAMUZIKI Miguel Jontel Pimentel (33) kutoka San Pedro amefunga pingu za maisha na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Nazanin Mandi, toka California Santa Susan (32), California, Jumamosi...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
NYOTA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando amesema hakuna jambo jema alilojifunza tangu abadili dini kutoka kwenye Uislamu na kuwa Mkristo zaidi ya ‘ugaidi' wa kiroho mbaya na sasa...
5 Reactions
136 Replies
56K Views
Mchungaji Daud Mashimo wamewadhamini msanii Amber Rutty na mpenzi wake Said Bakary, katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Wawili hao walikuwa wanashikiliwa kwa kusambaza...
9 Reactions
88 Replies
18K Views
KAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia ukiona maharage yameiva jua mkaa umeteketea! Ulifikiri...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mtoto pekee wa kike wa muingizaji maarufu duniani Jackie Chan aitwae Etta Ng mwenye umri wa miaka 19 amethibitisha kufunga ndoa na mwanamke mwenzie ajilikanae Kama Andi Autumn kupitia mtandao wa...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Mtoto wa Kiume wa Muigizaji Maarufu Duniani Will Smith, anayefahamika Kama Jaden Smith mwenye Umri wa Miaka 20 ametangaza Hadharani Kuwa Rapper na mchekeshaji Kutoka nchini Marekani Tyler the...
0 Reactions
343 Replies
54K Views
Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic. “Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Kwakweli imebidi nije kwenu maana humu ndio penyewe kwa kila jambo naomba msaada wa kimaamuzi kwa sasa wapenzi wa gospel kati ya hao magwiji wawili nani mkali ? Andika jina tu kwa unayeona nyimbo...
1 Reactions
97 Replies
21K Views
Mtangazaji wa zamani wa Clouds Media Group, Zamaradi Mketema ambaye baada ya kuvunjika kwa mahusiano yake ya kimapenzi na Mkurugenzi wa CMG, Ruge Mutahaba, alihamia Wasafi Media kuendelea na...
11 Reactions
54 Replies
14K Views
NOORAH Kitandani…..FIESTA Uwanjani!! Japo muda kidogo umepita tangu utokee huu mkasa lakini sio mbaya tukikumbushana hii kitu. Jinale halisi ni Haji Nurah Ngarama almaarufu kama ‘Noorah’ au Baba...
17 Reactions
181 Replies
26K Views
Habari wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyo sema, acha niende kwenye mada husika.
1 Reactions
44 Replies
13K Views
1. Wasanii amabo tulikuwa tunaaminishwa kwamba hawana uwezo ndio wanaweza sana kupiga show na amsha amsha nyingi sana nimeziona kwa Dudu, Dully, Country, Moni, Nikki, Killer, incredible, stereo...
17 Reactions
82 Replies
15K Views
Huyu jamaa wa kuitwa gazza kiukweli ni fundi sana.. yupo Tip Top.. ana ngoma mbili.. ya kwanza inaitwa naniii yupo na madee.. na hii iliyotoka miezi michache iliyopita."Sana "... hii ngoma Sana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu jamaa wa kuitwa gazza kiukweli ni fundi sana.. yupo Tip Top.. ana ngoma mbili.. ya kwanza inaitwa naniii yupo na madee.. na hii iliyotoka miezi michache iliyopita."Sana "... hii ngoma Sana...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
#BREAKING: Msanii Amber Rutty na mpenzi wake Said Mtopari, wameachiwa kwa dhamama katika Mahakama ya Kisutu leo. Amber Rutty amedhaminiwa na ndugu yake huku mpenzi wake akidhaminiwa na Mchungaji...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
..kwanini Polisi wetu siyo waungwana? ..mtu anapovaa nguo za Polisi au Jeshi anapaswa kujiheshimu na kuheshimi raia wenzake. ..kamwe hatakiwi kujionyesha kuwa ni mtu wa mabavu na muonevu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wala nisiende mbali,mmiliki ni Kusaga ,kwenye documents za brela TCRA anatumia jina la mzee tyson ana asilimia 92,diamond ana 8. Majuzi kuna watu wakawa wanasema hii beef ni ya uongo kutengeneza...
28 Reactions
251 Replies
104K Views
Back
Top Bottom