nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
Wala nisiende mbali,mmiliki ni Kusaga ,kwenye documents za brela TCRA anatumia jina la mzee tyson ana asilimia 92,diamond ana 8.
Majuzi kuna watu wakawa wanasema hii beef ni ya uongo kutengeneza pesa,beef ya uongo halfu watu wengine wakubali kuitwa hawana marinda?
Kibali kimefutwa mmeamini sasa? Joe Kusaga mwenyewe angekuwa serious na clouds tena show ingepigika tu,Joe hana time nao,Ruge anaumwa waliobaki pale wanyonge hakuna mwenye connection,DAB juzi alikuwa anawachora tu kinyongo bado anacho anajua tangu avamie Clouds umaarufu wake ulianza kuporomoka pale na shilawadu walivyoendelea kumponda mara ananuka mdomo na miguu.
Issue iko hivi kwa wasiojua,clouds media ni mali ya marehemu mzee Kusaga kwa hiyo watoto wote akiwemo Joe Kusaga wana shares wako watano.
Joe akaona baadaye yeye anapiga kazi kubwa at the end of the day kuna kugawana,akaanza juhudi kama kuanzisha Clouds international huko Dubai wapi anakula hasara tu na ni mjanja wa kusoma nyakati alianza kuona Clouds inavyopoteza mvuto thats why akarukia kwa Diamond kutumia jina lake ukweli ni kwamba hela nyingi inaenda kwake.
Kwa wanaojua ndugu wa Joe,ni wajeuri kwelikweli hata Ruge kuna kipindi alidai apewe share asilimia 5 wakakataa so analipwa mshahara tu kwa hiyo kwa kilichotokea leo nafikiri ndugu zake wamepata LESSON KUBWA SANA,hakuna clouds bila Ruge wala Joe Kusaga.
Yes jamaa bado ataendela kula share zake Clouds lakini haweki nguvu yake pale thats why alihamia Dubai nafasi yake ikachukuliwa na Ruge,nafasi ya Ruge ikachukuliwa na Seba Maganga,nafasi ya Seba ikachukuliwa na Shaffih Dauda.
Sasa angalia Seba na Shaffih Dauda walivyopwaya kwenye hii issue, inasikitisha lakini pia inachekesha sana maana ubaya hawa jamaa waliofanyiaga watu huko nyuma ni mkubwa sana.