Alianza hivi
Akaja hiviNa sasa kaja hivi
Hapa ndipo ninapoanza kumtoa akili huyu jamaa wenzako wamekukaushia wewe unaforce ili mgombane upate kiki,nashauri WCB waendelee kula bati na mambo yao...
Wakuu,
Tumefanya show lakini malipo hamna, kila siku tunaambiwa msubiri kesho kesho.
Kuweka mgomo tunaogopa kwasababu ya fitna ya hii radio, ila ukweli tunaumia sana. Tulijadili hili swala...
WASAFI Festival ilikuwa ya kawaida sana tofauti na jinsi ilivyopewa promo na kundi ama wadau wa WASAFI. Ilikuwa kama show za kawaida ambazo zimekuwa zikifanywa na wasanii wa muziki hapa nchini...
Msikilize kwa makini Afande akielezea tathmini yake kuhusu show ya Wasafi vs Fiesta.
Pia kuna jambo la ukabila na ukanda amelizungumzia kama tuhuma kwa Clouds.
Anasema jinsi figisu za Clouds...
Aman iwe juu yenu wakuu
Kwanza tunaanza na salam
Konk konk konk master yes ni konk tena kuiteka dunia jamaa kaja na bonge la pin ambalo kamshilikisha rayvany. Goma ni sumu sana ngoma...
Hongera kwa wasafi tamasha lenu limefanikiwa sana alafu tuseme tu ukweli toka Tanzania (Tanganyika) ipate Uhuru ndo wanakuwa wasanii wa kwanza kujaza vile tena kwa kiingilio cha elfu kumi
Huo ndo...
Kama wengi wenu mnavyojua kuwa Fiesta ili ahilishwa na kusababisha hasara kubwa kwa wasanii wengi nikiwepo mimi, kuna nguo za madancer na vinginevyo ambavyo nilitegemea kuvilipa baada ya show...
Sijawai kuona mwanaume mwenye mambo ya kipumbavu kama huyu mpuuzi Anayejiita dudu baya,
WCB kumshika mkono huyu mdingi naona amechanganyikiwa kabisa
Kutwa nzima anashinda mtandaoni kutupa...
Fiesta inaanza lazma Ruge apate mbadala wako ambaye bei yake itakuwa ndogo. Lazma Ali awe mkubwa. Mdogo wangu Dai unakumbuka kwann inapokalibia fiesta tu basi mazingira yanaandaliwa ya Kiba...
Namnukuu Farid Kubanda
@babutale PART 1: Nimeonelea si vibaya nikifungua hiki kigazeti changu na sentensi hii—-.> “ Keki ya taifa ni kubwa sana na ina vipande vingi vya kuwatosha wachakarikaji...
Katika kile kinachoonyesha maji yamewafika shingoni Clouds media wametoa kauli nzito kupitia kwenye page ya Shilawadu(hapa nadhani wameamua kuficha aibu kwa kupost bandiko kwenye akaunti ya...
Mama wa burudani hapa nchini anajulikana ni komando binti machozi jide lady jay deeeeee hili halina ubishi
Kwa sasa mpaka sisi timu kiba tunajua na tunaunga mkono mapinduzi ya burudani, tamasha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.