Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,987
Points
2,000

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,987 2,000
Mtoto wa Kiume wa Muigizaji Maarufu Duniani Will Smith, anayefahamika Kama Jaden Smith mwenye Umri wa Miaka 20 ametangaza Hadharani Kuwa Rapper na mchekeshaji Kutoka nchini Marekani Tyler the Creator alikuwa BoyFriend wake na Bado ni BoyFriend wake.
Kupitia Clip iliyoanza Kusambaa Sana Kwenye Mitandao ya Kijamii inamuonesha Jaden akiwa kwenye Stage akisia kuwa Tyler ni Rafiki yake Mkubwa wa Kiume na Bado Mpaka sasa wapo nae.Wengi wameitafsiri Hii Kama Jaden amekuwa akishiriki Mapenzi ya Jinsia Moja, Kwa Jinsi Alivyokuwa akiongea kwa Hisia kwenye Video hiyo na Ikimuonesha Tyler akiwa na Kicheko kinachomaanisha kuwa Kweli Wawili hawa kuna Jambo litakuwa Linaendelea.

Pia soma

Mtoto wa Will Smith (Jaden Smith) azama kwenye penzi zito la mdogo wake Kim Kardashian - JamiiForums

Jaden Smith aendelea kusimangwa kwa kuvaa nguo za kike - JamiiForums

Mtoto wa Will Smith (Jaden) akiliwa Mate live na Mwanaume mwenzie! - JamiiForums
 

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
6,682
Points
2,000

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
6,682 2,000
Ila kuna fununu hata baba na mama walikuwa ama wana practice mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja, naona watoto wamefuata nyayo tu tena kwa baraka za wazazi..
 

Judi Mushi

Member
Joined
Oct 19, 2018
Messages
22
Points
45

Judi Mushi

Member
Joined Oct 19, 2018
22 45
Mimi huwa nashindwa kuelewa hivi Mwanaume utatamanije kumuingilia Mwanaume mwenzako mwenye ndevu, misuli imekomaa!! kwangu akili inadata !!! Mungu Shuka useme na hawa wanadamu wanaokengeuka kila siku kwenye dunia uliyotupa yenye Adam na Hawa. That part is not for nispe Penetration it is for defecation and Colonoscopy
 

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Messages
1,183
Points
2,000

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2018
1,183 2,000
MTOTO WA WILL SMITH ALIECHEZA MOVIES KAMA KARATE KID,PURSUIT OF HAPINESS....JANA KATIKATI YA SHOW KATHIBITISHA YUPO KWENYE MAHUSIANO YA KISHOGA NA RAPPER AITWAYE TYLER THE CREATOR
TUNASUBIRI NA KALE CHA KIKE WILLOW SMITH KANACHOSEMEKANA NI KA LESBIANS..OOOUWEEIII

Hata mitandao na magazeti mengi ya huko huko yanamulaumu Will Smith na mkewe kwa jinsi walivyo walea hawa watoto. Inasemekana wamelelewa vibaya sana wote wawili. Huyu dogo alipoanza kuvaa nguo za kike baba yake alisema hapendi anavyovyaa hana shida na mashoga ila hatomruhusu afanye hayo akiwa anaishi kwake,
 

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,987
Points
2,000

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,987 2,000
Ila kuna fununu hata baba na mama walikuwa ama wana practice mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja, naona watoto wamefuata nyayo tu tena kwa baraka za wazazi..
yes jada alikuwa kwenye mahusiano ya kisagaji na kale kademu keupe cha kwenye sitcom ya MARTIN kaitwacho Tisha campbell dada yake na yule mwanamuziki shoga aliye hit miaka ile aitwaye Tevin Campbell na ndo chanzo cha Martin kumpiga Tisha ukawa mwisho wa vichekesho hivyo sbaabu Martin alikuwa anampenda sana huyo demu na walikuwa wapenzi kabla Jada hajaanza kumsaga,kuhusu will smith kuwa shoga wanasema hata mke wa kwanza wa jamaa alimkuta kitandani anapumuliwa
 

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,987
Points
2,000

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,987 2,000
yule alimfuma Will anapumuliwa na njemba ,Will akazuga kwamba alikuwa in love na Jada,ukweli ni kwamba Jada ni msagaji,kesha date watu kama Tisha campbell, Queen latifah so Will kwa Jada anakuwa kama BEARD wanazuga tu thats why wanasema wapo kwenye open relationship,wale wote ma bisexuals tu
Will alimuacha yule baby mother wa kwanza na Jumuiya Jada sasa watoto aliyopata na Jada wote wana matatizo. Yule wa kwanza atamuokoa.
 

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Messages
1,183
Points
2,000

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2018
1,183 2,000
mi nlishakuwa na mashaka naye since way back tokea enzi za karate kid.Mule kuna scene anapaka make up na kwenda nayo shule kuficha majeraha aliyopata baada ya kudundwa na wenzie.
Mkuu yani unatafisiri maisha ya mtu kwa kutazama yaliyo kwenye movie ambayo anakuwa anaigiza script iliyoandikwa ika shootiwa? Huenda pia unaamini kuwa wale jamaa wa Matrix walikuwa wana uwezo wa kukwepa risasi kweli
 

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
6,682
Points
2,000

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
6,682 2,000
yule alimfuma Will anapumuliwa na njemba ,Will akazuga kwamba alikuwa in love na Jada,ukweli ni kwamba Jada ni msagaji,kesha date watu kama Tisha campbell, Queen latifah so Will kwa Jada anakuwa kama BEARD wanazuga tu thats why wanasema wapo kwenye open relationship,wale wote ma bisexuals tu
yes jada alikuwa kwenye mahusiano ya kisagaji na kale kademu keupe cha kwenye sitcom ya MARTIN kaitwacho Tisha campbell dada yake na yule mwanamuziki shoga aliye hit miaka ile aitwaye Tevin Campbell na ndo chanzo cha Martin kumpiga Tisha ukawa mwisho wa vichekesho hivyo sbaabu Martin alikuwa anampenda sana huyo demu na walikuwa wapenzi kabla Jada hajaanza kumsaga,kuhusu will smith kuwa shoga wanasema hata mke wa kwanza wa jamaa alimkuta kitandani anapumuliwa
Hollywood kuna mambo ya ajabu sana, kupumuliwa kwa wanaume au usagaji kwa wanawake upande wangu siyo tatizo, tatizo ni kuutangaza na kuushabakia, kuupamba na kuonekana kama ni trendy/usasa kwa jinsia tofauti, tunalazimishwa ionekane ni sawa tu, badala ya kuwa aibu kwa familia, tunalazimishwa hata wakiooana ni poa tu, sasa hapo ndipo wengine tunapopinga kulishwa na kuonyeshwa huu uchafu, kuna tv series/movies nzuri sana mitandaoni, ila nikisha ona kuna huu uchafu huwa nakatisha na kutozishaibikia tena, sijuwi tunaenda wapi, nashukuru dola inalipinga hili swala kwa moyo mmoja..sawa hii tabia ilikuwepo kabla hatujazaliwa, ipo kwenye familia zetu, lakini tusilazimishwe kuikubali, waendelee na uchafu wao kisirisiri na siyo kwa uwazi kutuchefuwa
 

Forum statistics

Threads 1,389,238
Members 527,879
Posts 34,020,679
Top