Gazza:msanii kutoka tip top asiyepata promo kubwa.

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,237
22,629
Huyu jamaa wa kuitwa gazza kiukweli ni fundi sana.. yupo Tip Top.. ana ngoma mbili.. ya kwanza inaitwa naniii yupo na madee.. na hii iliyotoka miezi michache iliyopita."Sana "...
hii ngoma Sana yaani ni moto.. kwa siku naiskiliza hata mara kumi!... sema jamaa hapewi promo tuu
 
anaimba hip hop? kama ndio, kizuri kula na wenzio mkuu, fanya kama una-attach audio hapa na sisi tusikilize
 
Back
Top Bottom