Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kuna msemo wa kinyiramba unasema Hard work pays, hii imethibitishwa na MD wa clouds fm kwa kutania na kusema Millard Ayo amempita boss wake mshahara kwa kumaanisha Millard ni.kati ya watangazaji...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Jamaa kiwango chake cha uchekeshaji anatakiwa apate makataba ata Hollywood. Bongo apamfai uwezo wake nikama Chris Tucker . Vipaji vipo Ila watu awataki kuwekeza Kwa uyu dogo . Tazama iki kipande
2 Reactions
94 Replies
15K Views
Sipo kwa ajili ya majungu Huyu mtu mm naweza kumfananisha na simba wa kweli wa mikumi au hifadhi yeyote ile maana jamaa yupo kimya ila mambo yake sio haba first kumiliki nyumba sio kama cha mange...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Mashabiki wa Ali Kiba tunajiuliza ni nani atakayejitolea amfuate Ali Kiba akamwambie ukweli? Ni nani aliyetayari? Tumtume nani akamwambie ukweli Ali Kiba? Mashabiki wake tupo katika mtanziko juu...
15 Reactions
51 Replies
10K Views
Siku chache baada ya kukiri kuwa kwenye mahusiano msanii wa bongo fleva Ben Pol na binti tajiri was kikenya Anerlisa Muigai mtandao wa nchini Kenya uitwao Tuko.co.ke umeandika binti huyo...
0 Reactions
68 Replies
12K Views
Nimeskiliza wimbo mpya wa maua sama uitwao "iokote" aliomshirikisha hanstone ni mzuri sana ila kama anamuiga Nandy na Rubby itafika wakati tutashindwa kuwatofautisha halafu naye dogo hanstone...
1 Reactions
42 Replies
22K Views
Unamfahamu Anerlisa Muigai? Huyu ni binti wa Kikenya na CEO wa NERO company ni campany ya maji inayoongoza nchini Kenya. Mama yake Thabita Karanja ni moja ya matajiri wanawake nchini Kenya, ni CEO...
9 Reactions
224 Replies
41K Views
Watanzania muache Uchawi.
3 Reactions
363 Replies
108K Views
Aman iwe juu yenu Naomba wadau mtupatie link ya wasafi festival iringa ambao hatuna video nyumban sisi wengine tuko huku nyampande Sengelema Asante sana LONDON BOY
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Bila kinyongo wala unafiki mwanetu anajua kutafuta pesa na kujituma,show tatu ndani ya siku tatu mfululizo 30 Nov Iringa,01 Dec Thika,Kenya,02 Dec Morogoro,hata kama tunakuchukia lakini Hongera...
6 Reactions
53 Replies
6K Views
Sijui lile sakata la kumdai vyeti tulianzishe upyaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi kweli msomi uliyekwenda shule na kuelimika unashindwa kuandika vizuri...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Hakika Kiba umewapika wakapikika hawa vijana... Nawaona hawa madogo wakifika mbali...
2 Reactions
59 Replies
10K Views
Kati ya nyimbo mbili auibu na hatufanani kutoka kwa nandy na shetta ipi ni ipi maana zote zimetumia beat moja kutoka kwa kimambo? Nini tatizo au ndo kimamba kashindanisha? Na kwa maoni yako upi...
1 Reactions
59 Replies
11K Views
Wakuu kuna mechi hii ya uzito wa juu.. Dizain naona kama JF hatujaitlia maanani hii game. Yeyote mwenye updates aweke hapa. Kama si alfajir ya leo basi ni kesho.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hongera chief una management nzuri inayoona mbali. Kitendo chako cha kukataa kufungamana na upande wowote katika hali iliyoko sasa kati ya wasafi na CMG umeonesha ukomavu wa kiwango cha juu...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Yooah.. Habari zenu wana jamvi!!! Ivi tatizo la ALI KIBA ni nin hasa?? Uyu mtu mie ni shabiki wake sana ila ana niangusha kinoma noma.. Uku mtaani sie team kiba tunaumbuka. Tangu WASAFI FESTIVAL...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu... Napenda kuwakaribisha kuasikiliza wimbo wangu wa kwanza kabisa kuuachia uitwao 'you are the one' kupitia youtube channel yangu hapa Maoni yanahitajika pia, wapi nimeboronga, nirekebishe...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa zangu na wadogo zangu ? Mimi bana ni mpenzi wa dabriusibi ..bana pale mziki akuna tena anaye baki anaimba vitu vya kueleweka na ndo new king wa bongo f ni Harmonize konde boy...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza...
1 Reactions
115 Replies
19K Views
JAMAA amenikumbusha mbalii SANAA yaaani katoaa ya MOYONI Unafiki hajuiii
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom