habari wadau.
Now nimeelewa why kuna watu ni hard worker hawatoboi, ila kuna wengine hawatumii nguvu ila wanafanikiwa sana.
nyimbo ya hamisa mobetto mpya kiukweli hata haivutii kusikiliza.. ila...
-Binti mmoja mrembo kutoka Afrika Kusini amesisimua mitandao jamii baada ya kujitokeza waziwazi na kukiri kuwa anaishi na virusi vya HIV
-Binti huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja ni thibitisho...
habari wadau ni siku nzuri ya mapumziko ya kuzaliwa kwa mtume Mohhame Sw..nawatakia sikukuu njema.
Moja kwa moja kwenye mada,kiukweli napata ukakasi sana juu ya hii taharifa inayovuma sana kwenye...
Unaweza kusema ukaribu wake na Diamond platnumz weekend iliyopita katika show ilifanyika Dubai umemponza mwanamuzuki Nandy baada ya jina lake kufyekelewa mbali na Clouds media kwa wale...
Bado siku kadhaa ili tushuhudie miamba mitatu ikitunishiana misuli katika kuonesha nani ana nguvu kuzidi mwenzake..
siku ya trh 24 nchi hii itasimama kwa muda kucheki pambano la nani atakuwa na...
HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview...
Hawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...
Wanajitutumua kusema ni mapinduzi...
Akuna cha bwana mpya Wala nini . hamisa kawa weza mashilawadu wa tz. Kumbe alikuwa anatafuta attention ya nyimbo.
Yule jamaa mcheza nondo ya kikapu katumika kama video visk .
Nimemuona Rc wa DSM, Ndugu Makonda akihamasisha Fiesta na kulifanyia promotion.
Je ni sahihi viongozi wa kisiasa kutumika kwenye matangazo ya biashara ya makampuni binafsi?
Sio Makonda pekee...
Baada ya watu kumwambia alimpendea jamaa Mjulubeng/dushe haya ndio majibu kuhusu shemeji wa zamani.
Ila huyu kaka mvivu na mbinafsi kama ni kweli hizi tuhuma
Ni nyimbo bora yenye maudhui ya Kitanzania ambayo imepikwa wasafi records, Nyimbo ina melody nzuri na mpangilio mzuri wa mashairi huku yakiwa na ujumbe mzito
Hii nyimbo yafaa kuwa nyimbo bora...
Wakati mwingine inabidi umsifie mtu kutokana na ubora wa kazi anayoifanya hata kabla hajafa..Hawa watu Kenny na Hanscana wanajitahidi sana katika kutengeneza music videos za bongo fleva kwa sasa...
SIASA hasa ya vyama vingi lazima ukubali kuwa na makundi mawili ya wanaokupenda na wanaokuchukia; utake usitake. Kwenye sanaa makundi hayo mawili hayapo! Kilichopo ni ushabiki ambao hautengenezi...
Huwa nashangaa sana kuona mtu anakuja na kuidharau wcb kisa ceo ni diamond! diamond ni mtoto mdogo sana lakini anawahenyesha wakubwa
Zamani matangazo ya fiesta yalikuwa hayana vijembe na...
Bila shaka najua haupingiki diamond ni msanii namba moja Africa mashariki lakini aliweza kitengenrzewa beef na msanii pendwa wa muda wote alikiba hii ikiwa katika kufaidisha media lakini ki...
Kutokana magazeti ya udaku na michezo, ni ukweli usiofichika kuwa mwanaspoti mashuhuri duniani, Christiano Ronaldo ni shoga, na yeye Ronaldo hajawahi kupinga hizi shutuma hata siku moja, zaidi ya...
Mwanaume aliyesema kuwa alimtapeli mwanadada wema sepetu, hata baada ya kumtangaza kuwa ndie angetakiwa kuwa mme wake. Amemtumia SMS nyingi za kitisho mwanadada Wema Sepetu, kwa kumwambia kuwa...