Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Fiesta inaanza lazma Ruge apate mbadala wako ambaye bei yake itakuwa ndogo. Lazma Ali awe mkubwa. Mdogo wangu Dai unakumbuka kwann inapokalibia fiesta tu basi mazingira yanaandaliwa ya Kiba...
115 Reactions
400 Replies
60K Views
Wasafi Muziki wenu mzuri,una midundo mingi nimebahatika kuhudhuria Nangwanda Sijaona,sound system iko very Poor! Jipangeni next time.
6 Reactions
40 Replies
8K Views
Namnukuu Farid Kubanda @babutale PART 1: Nimeonelea si vibaya nikifungua hiki kigazeti changu na sentensi hii—-.> “ Keki ya taifa ni kubwa sana na ina vipande vingi vya kuwatosha wachakarikaji...
11 Reactions
77 Replies
12K Views
Katika kutoa maoni ya kinachoendelea,mfalme wa rhymes naye katoa maoni yake ya
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonyesha maji yamewafika shingoni Clouds media wametoa kauli nzito kupitia kwenye page ya Shilawadu(hapa nadhani wameamua kuficha aibu kwa kupost bandiko kwenye akaunti ya...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Mama wa burudani hapa nchini anajulikana ni komando binti machozi jide lady jay deeeeee hili halina ubishi Kwa sasa mpaka sisi timu kiba tunajua na tunaunga mkono mapinduzi ya burudani, tamasha...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Vijana kwa kweli wanakimbiza
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Itoshe tu kusema kwamba muziki wa Bongo Fleva umekua na kufika mbali pengine tofauti na ilivyofikiriwa... Miaka ya mwanzoni ya 90 huu muziki ulionekana ni wa kihuni tu, huku muziki wa Congo...
4 Reactions
24 Replies
8K Views
WAKATI masuala ya ushoga yakipingwa kwa nguvu zote hapa nchini, skendo ya aina yake imeikumba serikali baada ya siri kuvuja kuwa mmoja wa viongozi kumi wa juu nchini ni shoga. Habari hizo za...
2 Reactions
152 Replies
35K Views
Msikieni huyu hapa chini... ....
1 Reactions
7 Replies
1K Views
MAMA wa mwanamitindo mwenye jina kubwa Bongo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga ‘Mama Mobeto’, ameibuka na kusema kuwa aliuona umaarufu wa mwanaye mapema tangu alipokuwa na umri mdogo. Akizungumza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Michelle Obama ametoa siri zake nyingi katika kusanyiko la matukio katika maisha yake kwenye kitabu chake cha "Becoming" Kwenye kitabu hicho, Michelle anasimulia mambo mengi kuhusu maisha yake...
4 Reactions
71 Replies
10K Views
Msanii wa kimataifa kitoka Nigeria,Mr.Flavour amethibitisha kuwa atakuwepo kwenye uzinduzi wa tamasha Konki la wasafi festival 2018 litakalofanyika kesho jumammosi Nov 24,Mtwara. akiongea kupitia...
4 Reactions
63 Replies
8K Views
baada ya fid kuwakandia kwenye tangazo la fiesta jamaa nao wametupa jiwe gizani
5 Reactions
63 Replies
16K Views
Kwa kumbukumbu zangu Efm huwa wanamatamasha mawili KOMAA CONCERT, na MZIKI MNENE, wamefanya kadri ya uwezo wao na mapokeo ni mazuri hasa ukipelekea matamasha yao ni bure kabisa, hawa jamaa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tamasha la wasafi festival limefanikiwa Kwa kiwango cha juu.hi inatokana kuwa Na wasanii wenye mvuto Na ushawishi kwenye jamii . Pia artists walio kwenye record label ya wasafi wanajitahidi ku...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Tunajua Joseph Kusaga yupo karibu sana na Diamond (Diamond Karanga, Wasafi media). Pia tunasikia Clouds Media wana beef na Wasafi. Kumbuka Kusaga ni Mkurugenzi wa Clouds na Ruge ni mkurugenzi wa...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando (pichani)amefungukia eneo fupi la maisha yake magumu ambapo alisema amewahi kutekwa kwa bastola na mwanaume...
0 Reactions
35 Replies
30K Views
Baada ya wao kugundua vyuma vimekaza wakaja na kauli mbiu ya "local artists", wakijinasibu kua sasa wamezamilia kuifanya bongo fleva kua ya kimataifa na uzalendo kwanza, sasa matokeo yake yamekua...
25 Reactions
58 Replies
11K Views
Back
Top Bottom