Sophia Simba hapa alikuwa anawadanganya wanawake.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sophia Simba hapa alikuwa anawadanganya wanawake..

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Easymutant, Jun 14, 2011.

 1. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kila nikifikiria hii kauli ya huyu mbibi naona si tu alikuwa anawaingiza wanawake wengine kuwekewa nyumba ndogo zisizo na ulazima na waume zao bali alikuwa anawadanganya pia ....Wanawake wanyimeni unyumba waume zenu kama watawaunga mkono wapinzani: Sofia Simba.
  swali la msingi sana JE YEYE ANAMUME?
   
 2. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Anaye zilipendwa wake Kitwana Kondo
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kwani ana mme wapi huyo!
   
 4. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Huyu mama alitia fora mwaka jana kwa kuwa waziri ktk serikali ya JK kila anapozungumza yeye ngono alikuwa anaipa kipaumbele lakini wala hata simshangai kwa kuwa watu wa kule kwao ngono inathaminiwa sana so bado hajabadilika kutokana na mafunzo aliyofundishwa na wazazi wake kule nyumbii mbombii
   
 5. a

  andry surlbaran Senior Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shika adabu yako, nyumbii bombii tuna heshima zetu kama yeye bi.mapua kaamua kujiachia ni yeye!
   
 6. a

  andry surlbaran Senior Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <span style="color:#ff0000;"><font size="4">SHIKA ADABU YAKO, NYUMBII BOMBII TUNA HESHIMA ZETU KAMA YEYE BI.MAPUA KAAMUA KUJIACHIA NI YEYE!</font></span>
   
 7. delabuta

  delabuta Senior Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hana ampate wapi? kwani wanaume unawaona ni wajinga sana, ni shangingi tu kila aombae hupata, so hana la kutuambia sisi wanandoa kwani ndoa haijui
   
 8. N

  Ntandalilo Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Khe!.......... haya!
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Labda sio mama yoyoo wangu!
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  kwa kweli huyu mama wakati mwingine huwezi kuamini ni msomi wa kiwango chake. Full micharuko mdomoni kama vile yuko kwenye rusha roho ama shoo za "laki si pesa na kitu T"
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,632
  Likes Received: 12,883
  Trophy Points: 280
  hahahahaaaaaa .alikwaa uwaziri
  ajili alimshangilia sana mkulu
  inaelekea uswazi huku
  yaani mtaani kwake
  kila mara mshikemshike loool
   
Loading...