Fid Q atoa kali ya mwaka......asoma hotuba kwa kutumia simu ya mkoni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fid Q atoa kali ya mwaka......asoma hotuba kwa kutumia simu ya mkoni.

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Pat Gucci, Jun 19, 2011.

 1. P

  Pat Gucci Senior Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya Mh. Zitto Kabwe mapema mwa wiki kusoma bajeti mbadala bungeni kwa kutumia iPad...nae Fid Q, Ngosha The Swagga Don kuendeleza mwendelezo wa swagga, alipokua katika tukio la fulani katika hoteli ya Kilimanjaro Kempiski kusoma hotuba kwa kutumia simu ya mkononi!
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Mambo ya kawaida tu! Wakina drizzy Drake na wengine wengi ufanya pia hivo.
   
 3. P

  Pat Gucci Senior Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakni wabongo wengi sio wabunifu!
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Mpaka waone fulani kaanza ndipo nao wafanye!
   
Loading...