Kwa video hii Ray c amerudia madawa?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,097
10,998
Huko instagram dada yetu amecharuka



Ikumbukwe kuwa dada yetu baada ya kupona kutokana na madhara ya madawa ya kulevya aliokoka, kwa sasa anaishi England

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara matangazo nyama ya binaadamu hutangazwa Instagram, lakini nyama ya buchter itatangazi kwenye luninga.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
madawa kuingia rahisi kuacha ni ngumu labda kupumzika.alafu ndo ulikuwa maisha fulani na ukarudi mabovu hapo lazima tu hata ufanyeje.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom