Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi kuna msani mwenye moyo wa upendo na kusaidia watu kama Harmonize? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ehee ndio hivyo jinsi watu wanavyokukimbia wakati wa kuumwa ndivyo jinsi watakavyokuja kwa wingi kukuchangia hela ya jeneza na sanda na wakaweka pombe na vyakula vya anasa msibani mwako Ndio...
17 Reactions
116 Replies
10K Views
2pac-Above the rim, 2pac-Juicy, Tyrese-Baby boy, Method Man-How high, Leonardo de Caprio-Blood diamond, hotel Rwanda, Colombiana, N.Hale high school pamoja na Lost.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
They are both smart, classic, intelligent, talented, educated and they both have natural beauty. Frankly speaking those chicks are cute but there is something ambacho mmoja kamzidi mwenzie je...
0 Reactions
71 Replies
41K Views
hii kitu weka mbali na watoto..naona wasanii wa west africa wameanza kumuelewa kiba.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cadet performs in London in 2015. Photograph: C Brandon/Redferns Cadet, the British rapper, has died in a car accident on the way to a concert, his family said in a statement. Otherwise known as...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliesambaza video ya Amber Rutty kumbe mmbea na hajui kupigana anapigwa mpaka na Amber Ruty...wanaume wa Dar mpoje lakini
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunaambiwa , baada ya muigizaji lulu Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu...
7 Reactions
72 Replies
11K Views
Nakumbuka muziki wa kizazi kipya wa nyumbani hapa Tanzania.. around miaka ya 99 mpk 2000 na kenda... Ilikuwa ukiskia muziki unahit, basi ni kwa sababu una story.. Yaani style ya uandishi na hata...
9 Reactions
91 Replies
19K Views
Huyu ndugu yetu Omary Nyembo baada ya kutoka katika 'UguaUgua' ya kansa ya koo hatimaye ameachia dude linaloitwa "Ni Wewe". Ni wimbo mzuri, ameuimba kwa hisia na huzuni sana, ambapo kwa mtu...
6 Reactions
50 Replies
12K Views
Nimejifunza mazoezi na kupangilia vyakula vinasaidia mwili kuto nenepa hovyo,Mary j Blige atatokea kwenye jarida la shape mwezi ujao wa kumi na mbili,wale wapenzi wa magazine mtamuona
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Diamond platnumz na ray van wakifanya collabo nyimbo zote huwa anafunikwa hasa kimashairi kwanzia Salome,Iyena mpaka Tetema
1 Reactions
28 Replies
7K Views
They are both legends if you ask me, been in the movies industry since back in days. Lakini leo nauliza fellow movie junkies, yupi mkare?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimemcheki Jamaa katika Instagram na katika Sites zingine. Nimefurahi kwa sababu ni moja ya Ma-MC wa HipHop ninaowakubali zaidi, amezidi kumaintain U-hardcore licha ya kuwa soko la sasa la...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
1.kim kardashian
0 Reactions
60 Replies
8K Views
WASANII wa fani tofauti na waandishi wa habari Alhamisi wiki hii watafanya ziara kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Reli...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba baba wa kambo wa Diamond Platnumz Mr Shamte anatarajia kupata mtoto kutoka kwa mchepuko wake mbali na bi Sandra. Ila ndio hivyo Bi Sandra haoni wala...
1 Reactions
74 Replies
12K Views
Dada Zama muda huu anaongea na Waandishi wa habari kasema kuwa kuna ujio wa filamu yake yenye mapigano ndani ambayo ameiandaa kwa millioni miambili ==== Mtangazaji maarufu nchini Tanzania...
1 Reactions
50 Replies
17K Views
Kuonyesha mwamba Sanaa imekuwa wasanii wa WCB wameamua kucopy na kupaste kutoka kwa msanii wa marekani ili kunogesha video wa wimbo huo mpya. Huu Ni ubunifu wa Hali ya kuu katika kufikisha bongo...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Na Mpenzi wake Tanasha Donna. JARIBIO halipo mbali. Halichukui muda mrefu sana kutoa majibu. Cha kufanya, chukua picha kali ya mrembo Tanasha Donna. Hakikisha ina...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Back
Top Bottom