Toni Braxton

Binti Maringo

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
2,804
86
I love Beyonce lakini naona hakumfikia Toni braxton bado..to be honest there is no one song of hers that i hate...

hebu check this one...this is one of the greatest dong..."please"

[media]http://www.youtube.com/watch?v=NtH6ruS-OaU&feature=related[/media]
 
mwanadada Tony B ana lips nzuri,mapaja murua mazuuri na kibode cha kuvutia hana kitambi.... 0.27 na 0.50 maaashallah!!!
 
Last edited:
mmh huko miye simo subiri cupcake aje kukutoa mkuku na pisto yake...
Huyo choka mbaya mtoto laini kama wewe unahitaji pumziko kama mie ule raha,nahisi sina dhambi ukinikataa utakuwa umenipa dhambi...
 
i think it doesnt matter anaishi zipcode gani what matters is her talent her voice is so unique.....

Ebo, si nataka niende kumuona in person ya nini nisubirie kumuona kwenye TV wakati tunaishi zipcode moja?

NN, ndio Sugarloaf wako wengi pale andunje Bow wow, na mvuta bangi Vick naye alikuwa ana minya pale Sugarloaf country club.
 
Well keep your hope alive dude...good luck!..
 
Huyu Bibie TONI hakuwahi kuniangusha hata siku moja.

Mtoto ana SAUTI tamu sana yenye uzito fulani.

Kifupi Mtoto huyu SAUTI yake inapagawisha sana.

Huyu Mtoto ni noma.

Jamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom