Ameandika Henry Kileo mume wa Joyce Kiria katika ukurasa wake wa Facebook.
Hakuna chochote katika maisha cha kupigania!
Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu.
Akiba yako...
HUU UJUMBE UMFIKIE SUPER FAKE WOMEN (JOYCE KIRIA)
Kwanza kabisa, nianze kwa kusema, kwamba, kwasababu mambo haya ameyaleta (joyce) kwenye mitandao ya kijamii, (public platform) na kwa makusudi...
Bondia asiyepigika ,THE MOST ACCURATE PUNCHER, THE BEST DEFENSIVE GENIUS EVER FLOYD MAYWEATHER amkung'uta Tenshin Nasukawa round ya kwanza dakika ya kwanza sekunde ya 51 .
Mpaka sasa Floyd bado...
Mayweather atalipwa zaidi ya Tsh billion 20 na million 698 kupigana na Tenshin Nashikawa Leo tar 31/12/2018.
Pambano hili litatumia dakika 9 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mtandao wa Twitter, raia wa Kenya na mashabiki AA Muziki wa Bongo Fleva wamekerwa na show ya Wasafi Festival iliyofanywa na Diamond na timu yake siku za hivi Karibuni nchi Kenya. Sina mengi...
Sasa ni takribani miaka 12 toka atoweke duniani msanii na mtayarishaji maarufu wa muziki wa Bongo Fleva akijulikana kama Complex.
Jina la Complex lilianza kusikika hasa pale aliposhirikishwa na...
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina.
Baby yupo mbioni kuachia video ya...
Imeelezwa kupenda umaarufu na sifa kwa wasanii wetu ni miongoni mwa sababu za kuambukizwa VVU
Wasanii wametajwa kuwa hatarini kuambukizwa virusi vya UKIMWI kutokana na umaarufu walionao na...
bongo huenda ikawa ya pili afrika baada ya nigeria kwa kuwa na talented celebrities.wapo wengi sana na wengi wao wapo talented.
tatizo kubwa walilonalo ni kufall rondomly in love kwa celebrities...
Rais Jakaya Kikwete alikuwa miongoni mwa watu waliobahatika kupata picha ya kumbukumbu na Mcheza Filamu wa Marekani Steven Seagal wakati watafrija iliyoandaliwa na Madaktari wa Kimarekani kwaajili...
Msanii wa bongo muvi riyama amefunguka kuhusiana na tuzo za sinema zetu na kusema waandaaji wamemkosea sana kumshindanisha bila kushirikishwa wala kuarifiwa.
Riyama Ally ameyasema hayo akihojiwa...
Siku za hivi Karibuni kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa mashabiki Wasafi katika sehemu mbalimbali walisopita na kufanya show kuwa hawapati kile wanachokitarajia kutoka kwa wasanii wanaounda WCB...
Ruby nimefurahi kukuona jamani
Umerudi tena kwenye muziki
Karibu sana Mdogowangu
Sauti kama kawaida nyororo, nzuri,laini... doh ama kweli kama ipo ipo tu.
Sasa umeshajifunza...
Mtumishi wa Mungu aliehai alitangaza kuwa sasa ameshaokoka, anampenda Yesu na Yesu akirudi nae atanyakuliwa kwenda Mbinguni
Hongera sana Jackline Wolper, tunaomba usiokoke roho turn bali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.