Kitenge vipi Diamond amekuchukulia mke au ni wivu tu?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,432
2,000
Ndugu yetu huyu amekuwa akimuandama sana Diamond Platnumz, huwezi kuta akisuport kazi zake zaidi ya kuangalia mazaifu yake na makosa yake tu, huyu huyu kitenge baada ya Diamond kuachana na mama watoto wake Zari alienda hadi South Africa na kuingia nyumbani kwa Diamond na kupiga mapicha kibao ilimradi tu Diamond aumie

Na leo tena kapost akimponda Diamond kuwa kachelewa msibani, kwa nini usimfuate direct umkanye kama mdogo wako kama hayo sio majungu, Dogo kawakuta kwenye game na kawapita ndio maana mnamchukia mnasubiriaga watu wafe ndio muanze kutoa sifa wakati hapa duniani mlikuwa mnachukiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,254
2,000
😂😂😂 Hao watani tu mzee kama ilivyo kwa saidi brown angalia soudy kam_follow mondi na mondi kam_follow soudy na hata kwa kitenge kwanza kitenge ni mtumwa wa vibopa (wenye fwedha😂) safari za nje hazimuishi mara SA mara NEW YORK mara China ipo siku atanasa kwenye mdomo wa kenge safari za kisutu zianze labda awe mwanachama wa CCM
 

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,432
2,000
Eeeh eeeh eeeh eeeh mkuu unasema ni mtumwa Waa niniii????
Hao watani tu mzee kama ilivyo kwa saidi brown angalia soudy kam_follow mondi na mondi kam_follow soudy na hata kwa kitenge kwanza kitenge ni mtumwa wa vibopa (wenye fwedha) safari za nje hazimuishi mara SA mara NEW YORK mara China ipo siku atanasa kwenye mdomo wa kenge safari za kisutu zianze labda awe mwanachama wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,560
2,000
Ndugu yetu huyu amekuwa akimuandama sana Diamond Platnumz, huwezi kuta akisuport kazi zake zaidi ya kuangalia mazaifu yake na makosa yake tu, huyu huyu kitenge baada ya Diamond kuachana na mama watoto wake Zari alienda hadi South Africa na kuingia nyumbani kwa Diamond na kupiga mapicha kibao ilimradi tu Diamond aumie

Na leo tena kapost akimponda Diamond kuwa kachelewa msibani, kwa nini usimfuate direct umkanye kama mdogo wako kama hayo sio majungu, Dogo kawakuta kwenye game na kawapita ndio maana mnamchukia mnasubiriaga watu wafe ndio muanze kutoa sifa wakati hapa duniani mlikuwa mnachukiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni Chapati ya jela asikuumize sana kichwa......
 

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
6,700
2,000
Hivi protocol anayozungumza kitenge ni protocol gani,mimi ninavyojua viongozi wanakuwa wa kwanza kuaga alafu wengine ndio mnafuatia.Alafu hizo anoziita hekaheka mbona alivyoenda kuaga kwa Masogange Leaders na Mzee Majuto Karimjee kaenda na Mabodygurd sana kwa nini jana tu alalamike ,mbona siku zote hakulalamika.Mbona hamjiulizi kwa nini Mo anatembea na Mabodyguard mpaka Msikitini.

Alafu kasema eti Rais akifika kwenye tukio ,nyie wengine hamrugusiwi hii protocol ya wapi mbona kwenye tukio kama la msiba haliapply,huyu naye labda kuna lake analitaka kutoka kwa Mondi.Msiba si kikao ambacho useme boss akiingia hamna mwengine kuingia.
 

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
3,350
2,000
Just imagine Diamond Asingeenda na Bordgurds pale nini kingetokea? Asingetemea wala asingeweza Kutoka

Watu wanasema Kuwa Diamond Atakuja Kufa watamkomoa ila uhalisia Diamond hata akifariki sahizi msiba wake utakuwa international Huo ndio ukweli

Ukiwa Msanii Jitahidi kuhusisha maisha binafsi na Saa! Sasa Diamond Kuongelewa Ataenda Sambamba na Marehemu ataongelewa Hadi mwezi uishi Hata asipo toa wimbo mpaka mwezi 6 watu watakuwa wanaona kama ana single yake mpya kitaa
 

21 February

JF-Expert Member
May 19, 2017
3,063
2,000
Kwamba diamond kamkuta Maulid Kitenge kwenye na kampita. Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tatizo nyie hamtaki kuambiwa ukweli
 

UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,865
2,000
Mi namtetea Kitenge. DAI hana adabu hawezi kuja kwa shughuli wakati Rais ameshaingia awe na heshima na raisi wetu. Yeye ni raisi wa wasafi full stop Hao mameneja wake wamfundishe akiwa a nakuja sehemu amabazo raisi wa nchi a nakuja asilete dharau hata kidogo. Heshima hainunuliwi hata kama ni rafiki wa JPM lazima amweshimu na si vinginevyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom