Natamani Ma-Celebrity wa Bongo wangekuwa kama Ma-Celebrity wa Nigeria

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,920
14,819
Nimewacheki Mademu, Celebrities, Singo Maza, Madanga na Malaya waliokubuhu huko Nigeria, wala sijaenda pengine

Jinsi walivyoendelea, kila mwanamke ana maisha yake... wanamiliki Majumba, Wamewekeza kwenye Real Estates, Movie Industries, wamejenga Ma-Appartments... akaunt zao zinasoma Billion Nairas... Magari yao wanacheza kwenye BMW, AUDI, PORCHE Cars ... Wanalipa kodi...

Mwanamke ukimkuta Instagram anajidai lakini anajidai kwasababu ana maisha yake na hela zake ... na yupo Proud ...anasema kabisa mimi zamani nimeanza vibaya lakini sasa hivi nina wafanyakazi 50 mpaka 100 wananitegemea... haijalishi ulipoanza Mwisho ndio kila kitu, finali ndio kila kitu!

TUKIRUDI HUKU KWETU BONGO:

Wanawake kama hao hao wa Nigeria, wapo Buzy Instagram wanagombana nani kaenda kwa Mganga... sijui nani kampeleka mwanae kwa Mganga akiwa mtoto kwanza... sijui Mara Kuchambana... kiki za kijinga jinga... huko kwa Youtube ndio kabisa ni vituko... Kuzungukana na kuibiana Mabwana... sasa si bora muibiane Mabwana lakini muwe mnaenda Mbele kuliko kurudi nyuma!

Wengine Buzy wanapost mapicha wamepiga mamekapu ya elfu 70 kwenye akaunt hawana hata mia wanategemea wakadangwe

Tunaomba jamani Nduguzetu Mnaojiita Ma-Celebrity, Madanga Maarufu, Malaya mliokubuhu angalau basi mjifunze kwa nduguzetu wa Nigeria!

Nyie mkiendesha TOYOTA mnajiona mmefiiiiika! oh Nina Prado!


Tunaomba Wadada wa Kitanzania muamke basi Mtalala mpaka lini?

Mimi ndio maana nikiwa nje ya Africa wakiniuliza where are you from nasemaga Am from Ethiopia au Mouritious!

Kiru!

Ngoja niendelee kuandika hadithi mie!

 
ukiwa nje huko unadanga ndio unaukataa utz ili wakuone expensive shit kama wanaija....haya tunasubiria mafanikio yako 2025
Kwani mimi Celebrity?
you need to come out man, hiding on JF WALLS wont help
 
Elimu elimu elimu! Celebrity wa ki Nigeria mwenye elimu ndogo ana degree. Ndiyo maana tunasema ukisoma unajikomboa hata ukitaka kuwa mwizi au Malaya utaifanya vizuri inavyotakiwa, lakini hawa wa kwetu asilimia kubwa ni form four failures na darasa la saba, halafu pia wengi wa celebrity wa ki Nigeria wametoa kwenye familia nzuri. Sisi wa kwetu wengi ni watoto wa uswazi halafu hawataki kubadilika,
 
Elimu elimu elimu! Celebrity wa ki Nigeria mwenye elimu ndogo ana degree. Ndiyo maana tunasema ukisoma unajikomboa hata ukitaka kuwa mwizi au Malaya utaifanya vizuri inavyotakiwa, lakini hawa wa kwetu asilimia kubwa ni form four failures na darasa la saba, halafu pia wengi wa celebrity wa ki Nigeria wametoa kwenye familia nzuri. Sisi wa kwetu wengi ni watoto wa uswazi halafu hawataki kubadilika,
hahahahahha
nimecheka
afadhali nimepata jibu la kisomi
sio kama huyo kakako hapo huyu ze-dudu nahisi na yeye ametoka uswazi hahahaha
 
Halafu kingine nachoshangaa kutokana wingi wawo wa watu wanaotumia mitandao unakuta Celebrity mkubwa ana followers 100 K ila ukija Bongo Celebrity kajamba nani ana Followers Milioni 1.
hahahahahhaha
unajua nilkitaka kuuliza hivyo, am glad you have noticed too!
doh
wanasema ukiwa na followers wengi unajulikana haraka
sasa bora ujulikane au bora uingize pesa?!
 
Wanawake hao hao wa Nigeria wanasifikana sana kuwa na sifa za Wema Sepetu na Hamisa Mobetto za kuwaroga wanaume hata wakienda Ulaya huwa wanafanya hivyo hivyo. uzuri ni kwamba wakifanikiwa wanafanya ya maana ila hapa Bongo wanashindania kujulikana na kutambiana ya ujinga.
 
Back
Top Bottom