Binti pekee wa Michael Jackson asema babake aliuawa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
_93800713_jackson.jpg

Mwana wa kike wa pekee wa nyota wa muziki wa Pop marehemu Michael Jackson , Paris amesema kuwa anaamini kwamba babake aliuawa.

Katika mahojiano yake ya kwanza, Paris aliambia Rolling Stones ana hakika kwamba kifo cha babake mwaka 2009 kilipangwa.

Mwanamuziki huyo alifariki baada ya madai kwamba alikula dawa nyingi ya kupunguza maumivu.

Daktari wake Conrad Murray baadaye alipatikana na hatia ya mauaji ya kutokusudia. Lakini mwanawe Paris anaamini kuna taarifa zaidi kuhusu habari hiyo. Alisema kuwa mara nyengine alituambia kwamba kuna watu wanamfuata kumkamata, alisema.

Na mara nyngine alisema: 'Wataniuwa siku moja'. Alipoulizwa na Brian Hiatt iwapo anadhani babake aliuawa ,kijana huyo wa mika 18 hakusita kusema 'ndio' .

Aliendelea kusema: Watu wengi walitaka babake auawawe na kwamba alikuwa anajaribu kuwashtaki.

Kijana huyo hatahivyo hakutaja watu fulani na hakumshirikisha Conrad Murray katika tuhuma zake.

Chanzo: BBC/Swahili
 
HABARI ZAIDI ILIYOTOKEA KATIKA KIFO CHAKE CHA MWANAMUZIKI NGULI(LEGENDARY MUSICIAN) MICHAEL JACKSON.
Akiongea katika mahojiano ya hivi karibuni na gazeti la Rolling stone(Rolling Stone Magazine),
Paris,mtoto wa kike wa mwanamziki mkongwe Michael Jackson amethibitisha ya kwamba na anamini ya kuwa baba yake aliuwawa.
62fbe739bfde1828a0eb3563eb7a277b.jpg

Paris Jackson (18),alisema kwamba,"amethibitisha kwamba kifo cha Michael Jackson cha mwaka 2009 hakikiwa ajali kama wengi wanavyodhania.
Anakumbuka kwamba marehemu star wa pop duniani aligunduliwa kudungwa na cocktail za madawa ya kulevya katika mfumo wake wa mwili wake,Na alisema msababishaji wa kifo hicho daktari wa baba yake ambaye ni dokta Conrad Murray.

Miss Jackson aliliambia gazeti la Rolling Stone kwamba anayakini kwamba baba yake aliliuwawa.
Na alisema kwa msisitizo "baba yangu aliuwawa kabisa",.kwa sababu ni wazi kabisa.Ni point yangu kwamba.Inatokea sauti ya kufikirika kabisa(a total conspiracy theory) na inatokea sauti kama ng'ombe dume(bull)----_lakini shabiki zake za kweli na kila mtu kaika familia yetu tunajua hili.Wakati inaanza sauti hiyo kunguruma kama ng'ombe dume"

Asked who would want he father's dead.
She replied. "A lot of people and added that she is still seeking justice"
"It's a chess game, Paris explained." And I am trying to play the chess game the right way.And that's all I can say about that right how "
 
Kina Mama wa Ulaya nao wako kama ndugu zao wa kibongo? Familia ya kina Jackson japo iko dysfunctional at large ilibidi apatikane mtu japo hata mmoja ambaye yuko sane amfanyie huyu mtoto DNA. Haiingii kichwani mweusi kuzaa na mzungu kisha mtoto afanane hivi, yaani hata macho pia? Nooooooooo!
 
mbona mtoto mzungu

Hapa dna inahusika
Nakumbuka Michael Jackson aliwahi kukana kuwa hana mtoto na hakuzaa na mwanamama huyo ( mpenzi wake) ila mwanamama akang'ang'aniza kuwa amezaa nae tena Michael alipokufa ndo akakomea kabisa na misumari kuwa mtoto ni wa Michael ( kuna tetesi kuwa Michael alikatazwa Na illuminati asizae na ikawa inasemakana hakuzaa lakini upande mwingine ukawa unasema kuwa alizaa lakini akawa anakana kuwa hakuzaa kwa kuogopa illuminati na sharti lao walilompatia, japo alikuja kukiri kuwa ni mtoto wake Lakini haijathibitishika, ni huenda alikubali tu kuwa ni mtoto wake ili kuweza kumcover mtoto)
 
I even wonder! She was at least supposed to be a half black but anaonekana ni pure white. Hata kama baba alijibadilisha it has nothing to do with genes

Ukweli wa mambo ni kwamba watoto wa MJ Baba yao alisi ni Daktari wake wa siku nyingi aliyekuwa anamfanyia cosmetic/Plastic surgery (facelift) Michael, walikuwa ni marafiki sana.

Niliwahi kuona sura ya Daktari huyo, anafanana sana na watoto wa M.Jackson - siyo kwamba Daktari huyo alifanya ngono na mke wa Jackson - hapana, kilicho fanyika Daktari ali-donate mbegu baada ya kuombwa na Jackson mwenyewe, walizipandikiza (artificial insemination a.k.a in vivo fertilization) kwa mkewe Jackson - ukweli ndio huo.
 
Kina Mama wa Ulaya nao wako kama ndugu zao wa kibongo? Familia ya kina Jackson japo iko dysfunctional at large ilibidi apatikane mtu japo hata mmoja ambaye yuko sane amfanyie huyu mtoto DNA. Haiingii kichwani mweusi kuzaa na mzungu kisha mtoto afanane hivi, yaani hata macho pia? Nooooooooo!
Huwezi juwa labda alisaidiwa ( sperm donor ) mnaita
 
Michael Jackson alimpenda sana Diana Ross tangu akiwa mtoto.
Diana Ross alikuwa ndiye mwalimu wake wa Muziki na Michael alikuwa akiishi kwa Diana Ross wakati wa utoto wake.
Mbali ya muziki Diana alimfundisha Michael mambo mengi.
Inasemekana eti, mapenzi yao yalikuwa ya siri sana. Wakati huo Diana akiwa maarufu sana Duniani, Michael alimpenda kiasi cha kufikia hadi kutaka kufanana naye. Baadaye Diana alimkataa Michael.
Baada ya kukataliwa Michael aliathirika kisaikolojia.
Nyimbo zake nyingi zina ujumbe uliokuwa unaenda kwa Diana. Eg Who is It, Give in to Me nk

"Who Is It"

I Gave Her Money
I Gave Her Time
I Gave Her Everything
Inside One Heart Could Find
I Gave Her Passion
My Very Soul
I Gave Her Promises
And Secrets So Untold

And She Promised Me Forever
And A Day We'd Live As One
We Made Our Vows
We'd Live A Life Anew
And She Promised Me In Secret
That She'd Love Me For All Time
It's A Promise So Untrue
Tell Me What Will I Do?

And It Doesn't Seem To Matter
And It Doesn't Seem Right
'Cause The Will Has Brought
No Fortune
Still I Cry Alone At Night
Don't You Judge Of My Composure
'Cause I'm Lying To Myself
And The Reason Why She Left Me
Did She Find In Someone Else?

(Who Is It?)
It Is A Friend Of Mine
(Who Is It?)
Is It My Brother!
(Who Is It?)
Somebody Hurt My Soul, Now
(Who Is It?)
I Can't Take This Stuff No More

I Am The Damned
I Am The Dead
I Am The Agony Inside
The Dying Head
This Is Injustice
Woe Unto Thee
I Pray This Punishment
Would Have Mercy On Me

And She Promised Me Forever
That We'd Live Our Life As One
We Made Our Vows
We'd Live A Love So True
It Seems That She Has Left Me
For Such Reasons Unexplained
I Need To Find The Truth
But See What Will I Do!

And It Doesn't Seem To Matter
And It Doesn't Seem Right
'Cause The Will Has Brought
No Fortune
Still I Cry Alone At Night
Don't You Judge Of My Composure
'Cause I'm Bothered Everyday
And She Didn't Leave A Letter
She Just Up And Ran Away

(Who Is It?)
It Is A Friend Of Mine
(Who Is It?)
Is It My Brother?
(Who Is It?)
Somebody Hurt My Soul, Now
(Who Is It?)
I Can't Take It 'Cause I'm Lonely

(Who Is It?)
It Is Friend Of Mine
(Who Is It?)
To Me I'm Bothered
(Who Is It?)
Somebody Hurt My Soul, Now
(Who Is It?)
I Can't Take It 'Cause I'm Lonely

And It Doesn't Seem To Matter
And It Doesn't Seen Right
'Cause The Will Has Brought
No Fortune
Still I Cry Alone At Night
Don't You Judge Of My Composure
'Cause I'm Lying To Myself
And The Reason Why She Left Me
Did She Find Someone Else?

And It Doesn't Seem To Matter
And It Doesn't Seem Right
'Cause The Will Has Brought
No Fortune
Still I Cry Alone At Night
Don't You Judge Of My Composure
'Cause I'm Bothered Everyday
And She Didn't Leave A Letter
She Just Up And Ran Away

And It Doesn't Seem To Matter
And It Doesn't Seem Right
'Cause The Will Has Brought
No Fortune
Still I Cry Alone At Night
Don't You Judge Of My Composure
'Cause I'm Lying To Myself
And The Reason Why She Left Me
Did She Find Someone Else?

And It Doesn't Seem To Matter
And It Doesn't Seem Right
'Cause The Will Has Brought
No Fortune
Still I Cry Alone At Night
Don't You Judge Of My Composure
'Cause I'm Bothered Everyday
And She Didn't Leave A Letter
She Just Up And Ran Away

And It Doesn't Seem To Matter
And It Doesn't Seem Right
'Cause The Will Has Brought
No Fortune
Still I Cry Alone At Night
Don't You Judge Of My Composure
'Cause I'm Bothered Everyday
And She Didn't Leave A Letter
She Just Up And Ran Away

And It Doesn't Seem To Matter
And It Doesn't Seem Right
'Cause The Will Has Brought
No Fortune
Still I Cry Alone At Night
Don't You Judge Of My Composure
'Cause I'm Lying To Myself
And The Reason Why She Left Me
Did She Find Someone Else?
 
Back
Top Bottom