Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Walimbwende Suchaata ambaye ni Miss World pamoja na Miss World Africa Hasset Dereje wakiongozwa na mwanamitindo Mustafa kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel Foundation, wametembelea wodi...
3 Reactions
7 Replies
742 Views
Maskini hasaidiki kwa kweli, yani huyu Nuhu mziwanda alivyokuwa ana jiliza dms za wasanii wenzake mfano Diamond, Alikiba, Marioo, Rayvan,Harmonize nk na wote kumfungia vioo ,Chino akajitokeza...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
13 Reactions
82 Replies
5K Views
Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC. Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji...
43 Reactions
164 Replies
45K Views
Huyu msanii anaitwa Nuh Mziwanda namfahamu mama yake ni MTU wa dini. Kama familia mnaweza mpeleka kwenye kituo cha matibabu ya akili na vilevi (Sober rehabilitation) Tofauti na hapo either...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 Taarifa za kifo chake zimetolewa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
. Msanii maarufu wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, amepatwa na msiba mzito baada ya mke wake kufariki dunia mapema leo kufuatia kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa...
6 Reactions
75 Replies
5K Views
Kwa sasa umedrop kimuziki unatoa video haingii number one trending.
1 Reactions
14 Replies
976 Views
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye...
23 Reactions
131 Replies
19K Views
TANZIA: Msanii wa vichekesho Mzee King Majuto amefariki dunia usiku wa leo Agosti 8, 2018 katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. Msemaji wa hospitali hiyo, Aminiel...
46 Reactions
437 Replies
133K Views
Hakimi hana noma ila masuala yote ya miamala anakwambia ngoja tucheck na Bi Mkubwa tuone anatusaidia vipi, si unajua Mama Mtu mimi mipango sina😀
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN. Huyu mwamba ukimsikiliza vzuri kwanza ana uelewa mpana wa anachokifanya kuanzia lugha nahisi zinafika lugha nne za kimataifa na pia kiingereza ndo yuko vizuri mana...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Mtanange huu unawakutanisha warembo hawa ambao wametikisa mziki wa U.S.A na duniani kwa ujumla. Hapa tunatazama ni msanii gani anapaswa kupewa taji la malkia wa mziki kwa ukali wa ngoma...
7 Reactions
100 Replies
6K Views
Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume...
22 Reactions
237 Replies
31K Views
TANZIA: MH: TEMBA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI. Msanii mkongwe kwenye kiwanda cha Bongo Flava katika miondoko ya Rap na member wa kundi la muziki la TMK WANAUME FAMILY, Mh. Temba amefiwa na mama yake...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwimbaji wa Bongofleva na mwanachama wa JamiiForums, Haitham Kim amefariki dunia hospitali ya Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu. Meneja wake amethibitisha. Hivi karibuni Wasanii na Wadau...
25 Reactions
288 Replies
43K Views
Dudu baya au KONKY master siku hizi kaacha muziki na kuwa mchambuzi much know katika online Tv hapa bongo 1.Anajua chanzo cha diamond kugombana na wasanii wenzake kina harmonize,alikiba 2.Anajua...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Comedy Industry hasa stand-up comedy inakua kwa kasi saana duniani. Hawa ni comedians 5 bora wangu wa muda wote. Hawa jamaa sio sense of humor sio punchlines hakuna wakuwashika. 1. Trevor Noah...
9 Reactions
73 Replies
3K Views
Back
Top Bottom