Mpaka anafariki Jumanne Khalfani Uvuruge kilikuwa kinamuuma kuona wimbo alioutunga yeye lakini dunia nzima ilidhani umetungwa na Marijan Rajab
Marijan alikuwa mtoto wa mjini sema alizaliwa...
Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.
-
Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa...
Taarifa zilizo washangaza WATU MBALIMBALI ni kitendo cha msanii IBRA KWENDA Burundi kufunga NDOA bila kuwashirikisha wasanii wenzake. HUKU za chini zikidai kua ukweni NDO wamesimamia gharama za...
Mwanamuziki mkongwe Mohamed Mwinjuma (MAZINGAZINGA) baba yake mzazi na Khamis Mwinjuma (MWANAFA) baada ya kukataliwa na mwanae na kukosa msaada kabisa ameamua kujikita zaidi kwenye muziki na...
Mmasai Abel Motika “ Mr Ebbo" alikiwasha Sana na Ngoma Kali zenye lafudhi na pigo za kimasai zilizokua na komedi pamoja na mafunzo ndani yake.
.
Ngoma gani unaikumbuka toka Kwa huyu mwamba?
...
Yule celebrite aliyekuwa mtangazaji wa Redio Clouds Othman Njaidi amerejea bongo baada ya kukaa jela huko marekani kwa muda mrefu, karibu bongo mwendo mdundo,unaona ilivyobadilika
Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi!
Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba...
Inasemekana ni tajiri
Lakini mbona hajakaa kama tajiri, kuchekacheka hovyo, kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi.
Yani sioni kama kuna tajiri pale, labda mniambie yeye ni msimamizi tu...
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na...
Wakuu,
Kuna uzi nilianzisha humu kuhusu wasanii wa Tanzania kutosainiwa na lebo za kimataifa
Hoja ya Mdau iko hapa ~ Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu...
Bwana juzi nimekaa zangu home, nikawa nasikiliza zile nyimbo za zamani za Aslay akiwa dogo. Nikaplay wimbo wake "Niwe Nawe", halafu ghafla nikasema, “Subiri kidogo… hii sauti mbona kama najua?”...
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums,
Kumekuwa na gumzo kubwa mitandaoni kuhusu mtu anayejulikana kwa jina la MX Carter. Inaonekana kuwa jina hili limehusishwa sana na masuala ya usambazaji...
Wakuu,
Huko Nigeria sasa hivi ni shangwe na vigelegele tu maana kuna msanii wao wa kuitwa Ayra Starr amemwaga wino kwenye kampuni iliyoanzishwa na JAY Z ya kuitwa Roc Nation.
Nilichopenda ni...
Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini...
Dogo paten ni msanii wa singeli aliyebahatika kutengeneza hitsong moja ya Afande.
Kwa kuwa ni msanii average haitotokea atoe hitsong nyingine bahati uwa haitokei mara mbili.
Nachoshangaa sababu...
Mwimbaji wa muziki wa injili, Goodluck Gozbert amedai kuwa kuna watu walitumwa kuondoa uhai wake baada ya tukio la kuchoma gari alilopewa zawadi na kiongozi wa Kanisa la Ngurumo ya Upako, Nabii...
Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.
Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie...
Walimbwende Suchaata ambaye ni Miss World pamoja na Miss World Africa Hasset Dereje wakiongozwa na mwanamitindo Mustafa kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel Foundation, wametembelea wodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.