Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Jakaya kikwete alitumia tafsida kubwa ya kumtania mtume mwamposa kwakusema yeye kama jirani wa mwamposa atamualika nyumbani kwake lakini aende na mke wake kwakuwa Kuna nwanamke alipostiwa na...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Tarehe 5 July 1994, Tupac aliwatemea mate waandishi wa habari walikuwa wakisubiri kumuhoji baada ya kutoka katika mahakama ya state Supreme mjini New York. Alikuwa akikabiliwa na shtaka la...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Baada ya Diamond Platnumz kuulizwa na Billboard-: Unaendesha biashara nyingi, kitu gani kuwa boss wako mwenyewe kimekufundisha kuhusu kuwa msanii bora? "Kuwa boss wako mwenyewe ni suala gumu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Hee he. H baba leo amefunguka ktk stesheni moja ya redio, na kusema wakati yeye na irene uwoya walivokuwa wapenzi, alikuwa anamgonga uwoya mpaka kupelekea kupata mimba. H.BABA alifunguka na kusema...
2 Reactions
55 Replies
10K Views
Balthazar Engonga Ebang ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela leo Julai 2, 2025, kwa ubadhirifu wa pesa za serikali, utajiri haramu na matumizi mabaya ya madaraka. Inasemekana alifuja zaidi ya...
18 Reactions
125 Replies
7K Views
Akihojiwa kwenye kipindi cha Fallon tonight, mwanamuziki Shakira amesema huwa anasafiri na vifaa vya kuwezesha matamasha yake vyenye uzito wa tani 90 na idadi ya watu wasiopungua 145 kufanikisha...
1 Reactions
10 Replies
661 Views
Ni Mmoja wa wanahabari waliowai kunivutia sana kipindi anaripoti ITV, alikuwa na mbwembwe sana hasa kipindi cha uchaguzi. Ningependa kujua alipo kwa sasa maana amepotea kabisa kwenye medani za...
15 Reactions
104 Replies
30K Views
Without ever leaving Nigeria, extraordinary 20-year-old Favour Chisimdi Nwobodo made history by becoming fluent in 11 foreign languages. Chisimidi is a linguist prodigy who speaks fluent Korean...
3 Reactions
10 Replies
901 Views
Ndoa ya Lazaro Nyarandu ambaye ni waziri wa Maliasili na Utalii na mrembo Faraja Kota iko 'ICU' Kwa mujibu wa Mwanafamilia wa Waziri huyo hapa Arusha amehabarisha kuwa wawili hao kwa sasa...
2 Reactions
189 Replies
62K Views
A surviving member of Tupac's group "OUTLAWZ" has passed away. Edi of the Outlawz confirmed the passing and it may be a possible suicide.
4 Reactions
7 Replies
648 Views
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, Ngollo Malenya amethibitisha taarifa za Msanii maarufu wa singeli, Msaga sumu kupata ajali jana Mei 16,2025 wakati akirejea Dar es salaam akiwa anatokea...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania. Viatu hivyo ni brand ya...
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Mshindi namba 5 wa Miss Tanzania 2006, muigizaji na mjasiriamali Irene Pangras Uwoya, 35 amempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake! Muigizaji huyo aliyezaliwa na kulelewa katika...
39 Reactions
454 Replies
28K Views
Album 5 bora za muda wote ni 1. Mapinduzi Halisi - Prof Jay 2. Aka Mimi - Mangwea 3. A boy from Tandale - Diamond 4. Binti - Lady Jaydee 5. Room Number 3 - Mbosso Mbosso amefanikiwa kuingiza...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
SIKU chache baada ya minon'gono kuibuka chini chini kuwa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini Tanzania ambaye pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha, kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Mchungaji wa...
2 Reactions
127 Replies
29K Views
Tuondoeni tofauti zetu Na Kwa pamoja tuandamane P DIDDY aachiwe awe huru. Huyu ni kijana wetu mwafrika mweusi mwenzetu. Ni wajibu wetu kumtetea kijana wetu. Siyo kuandamana tu bali tumkumbuke...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
MWANAMUZIKI Mkongwe duniani Sean “Diddy” Combs, amepatikana na hatia katika mashtaka mawili kati ya mashtaka matano yaliyokuwa yakimkabili. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mahakama ya New York...
1 Reactions
1 Replies
499 Views
Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images Kampuni kubwa inayojulikana kimataifa kwa upigaji picha za wasanii wakubwa na matukio...
3 Reactions
47 Replies
10K Views
Msanii wa kike wa hip hop bongo Chemical, kwa mara ya kwanza amezungumzia maisha yake ya kimapenzi, kitu ambacho ni nadra sana kwa msanii huyo kufanya hivyo. Akizungumza na team ya Planet Bongo...
3 Reactions
45 Replies
16K Views
Back
Top Bottom