Ngoma gani unaikumbuka toka Kwa huyu mwamba Mr Ebbo?

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,543
14,451
IMG-20240316-WA0017.jpg

Mmasai Abel Motika “ Mr Ebbo" alikiwasha Sana na Ngoma Kali zenye lafudhi na pigo za kimasai zilizokua na komedi pamoja na mafunzo ndani yake.
.
Ngoma gani unaikumbuka toka Kwa huyu mwamba?
.
1.Mi mmasai
2.Bado
3.Kamongo
4.Tabia Mbaya
5.Maneno mbofumbofu
6.Bodaboda
7.Uswazi
8.Njaa
9.Pombe
10.Ganja
.
Hii ni mistari ipo kwenye ngoma inaitwa Ganja
.
Moja jumulisha mojaa, utapata kumi na moja.
Ukitaka andika nanee,Sifuri inabeba nyingine.
Ukisema tusile ungaa,Ugali itasongwa na nini?
Hivi ndivyo anavyoimba, Yombene akikula ganja.
Saa nane muchana jamaa ana taa ya chemuli anayata kwenda chooni..Ganja bana 😄🙌
 
Mbado (bado):


Mnanisema vibaya kwa kusimamisha basi,
Na pale ni porini ni vema nikawa wasi.

Basi ya kwanza mesimamisha ikanipita kabisa.

Nikaona nikae bararabani kabisa.

Basi ya pili kaja mefunga breki kali.

Dereva na abiria wote wakawa wakali.

Masai ngekugonga..haya unakwenda wapi,
Aaah mi nilitaka tu kujua saa ngapi,...😄😄😄
 
Back
Top Bottom