Vyombo vya Habari Nchini Senegal vimeripoti kuwa Serikali ya Nchi hiyo imelichukua eneo lililokuwa limetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Mji wa Akon ‘AKON CITY’ na kulirudisha mikononi mwake baada ya...
Ni wimbo ulioshika hisia za wengi Sana ulipotungwa na kuzinduliwa 1985 wengi hatukuzaliwa.
Na bado miongo mingi baadae haijachuja.
Wimbo huo ulitungwa na marehemu Michael Jackson pamoja na...
Tofauti kubwa iliyopo kati ya Wasanii wa Ulaya/Marekani ni kujua jinsi ya kuvaa kulingana na mazingira. When you're in Rome, live like the Romans.
Hakika Masikini wa Marekani sio sawa na Masikini...
wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz.
Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande...
Habari wadau wa JF,
Aisee kitambo sana sijamsikia mtangazaji mwenye vibe plate number D kwa hewa,huwa nilikuwa namsikiliza kwenye planet bongo au kwenye The Cruz ila kwa Fasi zote zimsomi kabisa...
Kwa miaka mingi ulikuwepo uvumi usiokoma wa uwepo wa video za utupu za muigizaji na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania (namba 5) mwaka 2006 Irene Pangras Uwoya.
Uvumi huo hatimaye ulifikia...
Mwigizaji wa maigizo ya uchekeshaji nchini Madam Pinky amesema kuwa tangu kuzaliwa kwake hajawahi kukutana na mwanaume kimwili {kufanya mapezi } na mwanaume yoyote yule
"Sijawahi kuwa na...
Msanii wa muziki wa Hip hop, Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na...
Souce : BBC Swahili
Wild King Nights'
Tumefahamishwa kwamba Combs iliwadhibiti sana wandani wake.
"Sitakaribia kuwa muwazi kwenu nyote," mfanyakazi moja wa kampuni ya Combs aliweka ujumbe...
Hi wadau!
Mimi ni mmoja wa naomuunga mkono na hata kukubaliana sana na mambo mengi ya kimaendeleo pamoja na uongozi wake mbunge wa Ubungo mh. John Mnyika ila sijafanikiwa kupata cv yake nakuweza...
Akizungumza na Bongo FM msanii aliyeachiwa aondoke bure WCB, Mbosso Khan amesema kuwa anataka kumjibu diamond mwenyewe ila anasubiri aongee amjibu.
Ameyasema hayo akielezea kuhusu utunzi wa...
Mwanamuziki nguli na mkongwe wa DRC wale wapenzi wa muziki ya Congo , rhumba , soukouss, n k watakua sio jina geni kwao, JB MPIANA , akiwa mapumzikoni South Africa, alitaarifiwa juu ya kifo cha...
Kwa vigezo Hivi. Moja kwa moja twende kwenye Mada.
1. STREAMS KWA UPANDE WA SPOTIFY
Kwa upande wa hizi streaming platform Apple music ndo uongoza kwa kulipa vizuri ikifatiwa na Spotify, Youtube...
Baada ya Haji Manara kutangaza nia ya kutaka kuwa Diwani Kariakoo na kuchukua Fomu kupitia chama cha Mapinduzi CCM
Dulla Makabila, amemua kutoa ya moyoni kuhusu maamuzi hayo ya Haji Manara
“Kama...
Jakaya kikwete alitumia tafsida kubwa ya kumtania mtume mwamposa kwakusema yeye kama jirani wa mwamposa atamualika nyumbani kwake lakini aende na mke wake kwakuwa Kuna nwanamke alipostiwa na...
Tarehe 5 July 1994, Tupac aliwatemea mate waandishi wa habari walikuwa wakisubiri kumuhoji baada ya kutoka katika mahakama ya state Supreme mjini New York.
Alikuwa akikabiliwa na shtaka la...
Baada ya Diamond Platnumz kuulizwa na Billboard-: Unaendesha biashara nyingi, kitu gani kuwa boss wako mwenyewe kimekufundisha kuhusu kuwa msanii bora?
"Kuwa boss wako mwenyewe ni suala gumu...
Hee he. H baba leo amefunguka ktk stesheni moja ya redio, na kusema wakati yeye na irene uwoya walivokuwa wapenzi, alikuwa anamgonga uwoya mpaka kupelekea kupata mimba. H.BABA alifunguka na kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.