Cuban Marimba Band ilikuwa bendi ya muziki wa dansi kutoka Morogoro, Tanzania. Bendi ilianzishwa na Salum Abdallah Yazidu (SAY) mnamo 1948 ikiwa na jina la Kihispania maarufu kama La...
Msanii na CEO wa KONDE GANG Harmonize, ametuletea idea yake ya kugawa chakula Cha bure mitaani.
Amethibitisha hilo kwenye post zake za Instagram alizo ziweke Hivi karibuni
Picha.
Taarifa kutoka hospitali ya Bugando zinasema mwigizaji maarufu wa Kundi la Vichekesho la FUTUHI maarufu kwajina la Karumekenge amefariki dunia jana Ijumaa, Oktoba 26, 2018 usiku wakati akipatiwa...
Hakika huku ni kukosa fadhila.
Hivi Harmonize hakumbuki Diamond Platnumz amemtoa wapi mpaka hapo alipofikia,yani neno dogo tu la kumpa hongera na kumtakia mafanikio mema bosi weka linamshinda...
Harmonize amekuwa msanii pekee mwaka huu kutokana East Africa kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA katika kipengele Cha Best African Act akichuna na wakali Kama Barnaboy na Nasty C
Unaweza kumpigia...
Mtihani mzito kwa Konde boy, anatakiwa atoe billion 1 ili apewe copyright ya nyimbo zake na kuachiwa account za youtube na Instagram.
Kwa hiyo kisheria na kibiashara Harmonize bado ni msanii wa...
Kweli hawa jamaa nimeamini ni wanfiki siku za nyuma wamewahi kuonesha unafiki kwa wasanii wengi akiwemo Afande Sele, inashangaza sana kutokuwepo kwa jina la FID Q katika list itakayo sherehesha...
Msanii diamond platnumz amekiri anamiezi zaidi ya 3 hajatuma matumizi ya watoto wake South kwakuwa mzazi mwenzake Zari haonyeshi ushirikina wa kumpa kuongea na watoto wake Tiffah na Nillan...
Paolo Maldini mmojawapo ya mabeki hodari katika historia ya soka anastaafu mwisho mwa msimu huu.Amechezea mechi zaidi ya 900 kwa muda wa miaka 24.Pamoja na mafanikio yake yote lakini hakupata...
Habari zenu wana jf..
Leo nikiwa nasikiliza muziki wa bongo fleva nikawaza mbali sana kuhusu ma legend wa ukweli wa mziki wetu.
Hapa nimepanga list ya wanamuziki na nyimbo bora za muda wote...
Ukiachana na kina jaydee, ray c , saida karoli, mama stara thomas na pengine kwa mbali kina rosa ree, sister p na zay b ni wasanii wengi sana wa kike wakivuma kwa hit song moja ndio wanapotea...
Mimi ni mtu ninayeamini kuwa changamoto kubwa katika sanaa ya Bongo inaanzia kwa wasanii wenyewe ingawa serikali inachangia sana kwa kiwango kikubwa kuwadumaza, na hii sidhani kama wanasiasa...
Waafrika mbumbumbu sana inapofika suala la kuiga mambo ya kizungu hadi kufikia kuwa kichekesho, sasa baby shower ya mtoto mtu kafanya ya makungwi. Ndo utajua tofauti ya mtu mwenye pesa na mtu...
Eeehh ndio msimu umeanza, ni msimu wa tamasha la muziki lililoanza kwa muda mrefu, lengo sio kuzungumzia msimu ila "Kicheko"
al maarufu Kicheko mtata mwamba ikifika kipindi hiki cha msimu ndio JD...
Kuna kipindi Fulani kiba alikuwa anafanya vizuri Sana na ushindani wake na diamond ulikuwa mkubwa Sana ila kwa sasa umepungua sana kwa miaka hii miwili ngoma zake zimekuwa hazifanyi vizuri japo...
Inawezekana kinachozungumzwa na wengi kuwa Mkurugenzi wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz hajapendezwa na kuondoka Harmonize kuondoka kwenye lebo hiyo kuna ukweli.
Siku za hivi karibuni kumekuwa na...
Kwa wale wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi, wiki iliyopita sijamsikia kabisa Paul James Swea kwenye kipindi cha Jahazi, pia Captain yuko china badala yake namsikiliza Wasi wasi Mwabulambo ambae...
Mmh jaman huyu cheusi dawa jamani ndo kutuvalia nini hivi kama anaishi Tandale kwa tumbo wakati yupo Denmark , mxieew , Yan shoga angu mshamba huyu mpaka anaudhi Sijui lipoje mxieew, minguo gan...