JamiiForums all time awards kwenye muziki wa bongo

msafwa93

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,765
5,900
Habari zenu wana jf..

Leo nikiwa nasikiliza muziki wa bongo fleva nikawaza mbali sana kuhusu ma legend wa ukweli wa mziki wetu.

Hapa nimepanga list ya wanamuziki na nyimbo bora za muda wote..

Nasisitiza 'za muda wote' mpaka kufikia mwaka huu..

Nb : hii list kwa mujibu wa maono yangu nawe unaruhusiwa kupanga yakwako.

*nyimbo bora za wakati wote

Bongo fleva + rnb
1. Tid - zeze
2. Dully sykes - dhahabu
3. Bizman - mabinti wa bongo

Rap
1. Ngwair - mikasi
2. Mr.Blue - tabasamu
3. Ay - binadamu

Hiphop
1. Prof. Jay - j.O.S.E.P.H
2. Kala pina - mstari wa mbele
3. Fid q - mwanza

Colabo
1. Afande sele + prof jay + solo thang - mtazamo
2. Crazy gk + mwana fa + ay - leo
3. Prof.Jay ft. Ferooz - nikusaidiaje

General
Bila kujali hizo category hapo juu hizi ndiyo nyimbo bora za wakati woooote.
1. Ferooz - starehe
2. Juma nature - hakuna kulala/mugambo
3. Prof jay - ndiyo mzee

*wasanii bora wakati wote

Bongo fleva
1. Dully sykes
2. Q chillah
3. Diamond platnumz

Rnb
1. Tid
2. Nuruely
3. Rama d

Rap
1. Ngwair
2. Ay
3. Mr.Blue

Wanawake
1. Lady jay dee
2. Enika + ray c
3. Paulin zongo + stara thomas

Hiphop
1. Sugu
2. Prof.Jay
3. Mwana fa

Makundi bora ya muda wote
1. Hard blasters crew(hbc)
2. Daz nundaz + gwm
3. Solid ground family
4. Wagosi wa kaya
5. Tmk wanaume

General
Bila kujali hizo category hapo juu hawa ndiyo wasanii bora wa wakati woooote.
1. Juma nature
2. Prof.Jay
3. Sugu
4. Jay moe
5. Mr.Nice + diamond platnumz

*heshima.

Segment hii inahusu kutambua umuhimu wa wasanii ambao au nyimbo ambazo haziji kuchuja.

Wasanii
1. Prof.Jay + juma nature
2. Lady jay dee + ray c
3. Sugu + dully sykes
4. Mwana fa + ay
5. Mr.Nice + diamond platnumz

Nyimbo
1. Daz nundaz - kamanda
Kila unapotokea msiba wa mtu maarufu hapa nchini lazima utausikia wimbo huu..

2. Vicky kamata - wanawake na maendeleo
Kila unaposikia wanawake wakihamasishana aidha kwenye siku ya wanawake duniani au kwenye mikutano lazima utausikia wimbo huu..

3. Ferooz - starehe
Kila utakaposikia watu wakihamasisha kuhusu kujikinga na ukimwi basi utapigwa wimbo huu,iwe siku ya ukimwi duniani au kwenye matamasha ya ukimwi.
 
Kuanza kurudi nyuma nayo inataka mda labda useme mtu ataje nyimbo anayokubal mimi ukimuona diamond platnumz nikupe man dojo na domokaya nyota wa amin na peter msechu na somo kasimu. Mganga.
 
Hao uliowaweka kundi moja na Diamond, kazi zao zilikuwaje na zikafika wapi pia?

Hapo D ni namba 1. Tena kwa kivingine vyoyote kwa wote hao yeye ni namba 1.
 
Hao uliowaweka kundi moja na Diamond, kazi zao zilikuwaje na zikafika wapi pia?

Hapo D ni namba 1. Tena kwa kivingine vyoyote kwa wote hao yeye ni namba 1.
Ndiyo Maana nimesema hiyo ni kwa mujibu wangu..

Hao watengeneza Njia Wana Heshima yao kuliko huyu anaesafisha njia..
 
Kuna jamaa anaitwa Abby Skills aliimba wimbo unaitwa Nilikupenda Nakupenda, kamshirikisha Dully na Zahran.

Huo wimbo haupo? Unazungumzia wakati wote upi? Zeze inakuja Abby Skills tayari mtu mbaya.

Ndiyo maana kila tuzo zikitolewa hayaishi malalamiko.
 
bora umesema kwa "Maono yako" kinyume na hapo ungekuwa umelipua lipua na kuchanganya mlenda kwenye Makande.
 
Habari zenu wana jf..

Leo nikiwa nasikiliza muziki wa bongo fleva nikawaza mbali sana kuhusu ma legend wa ukweli wa mziki wetu.

Hapa nimepanga list ya wanamuziki na nyimbo bora za muda wote..

Nasisitiza 'za muda wote' mpaka kufikia mwaka huu..

Nb : hii list kwa mujibu wa maono yangu nawe unaruhusiwa kupanga yakwako.

*nyimbo bora za wakati wote

Bongo fleva + rnb
1. Tid - zeze
2. Dully sykes - dhahabu
3. Bizman - mabinti wa bongo

Rap
1. Ngwair - mikasi
2. Mr.Blue - tabasamu
3. Ay - binadamu

Hiphop
1. Prof. Jay - j.O.S.E.P.H
2. Kala pina - mstari wa mbele
3. Fid q - mwanza

Colabo
1. Afande sele + prof jay + solo thang - mtazamo
2. Crazy gk + mwana fa + ay - leo
3. Prof.Jay ft. Ferooz - nikusaidiaje

General
Bila kujali hizo category hapo juu hizi ndiyo nyimbo bora za wakati woooote.
1. Ferooz - starehe
2. Juma nature - hakuna kulala/mugambo
3. Prof jay - ndiyo mzee

*wasanii bora wakati wote

Bongo fleva
1. Dully sykes
2. Q chillah
3. Diamond platnumz

Rnb
1. Tid
2. Nuruely
3. Rama d

Rap
1. Ngwair
2. Ay
3. Mr.Blue

Wanawake
1. Lady jay dee
2. Enika + ray c
3. Paulin zongo + stara thomas

Hiphop
1. Sugu
2. Prof.Jay
3. Mwana fa

Makundi bora ya muda wote
1. Hard blasters crew(hbc)
2. Daz nundaz + gwm
3. Solid ground family
4. Wagosi wa kaya
5. Tmk wanaume

General
Bila kujali hizo category hapo juu hawa ndiyo wasanii bora wa wakati woooote.
1. Juma nature
2. Prof.Jay
3. Sugu
4. Jay moe
5. Mr.Nice + diamond platnumz

*heshima.

Segment hii inahusu kutambua umuhimu wa wasanii ambao au nyimbo ambazo haziji kuchuja.

Wasanii
1. Prof.Jay + juma nature
2. Lady jay dee + ray c
3. Sugu + dully sykes
4. Mwana fa + ay
5. Mr.Nice + diamond platnumz

Nyimbo
1. Daz nundaz - kamanda
Kila unapotokea msiba wa mtu maarufu hapa nchini lazima utausikia wimbo huu..

2. Vicky kamata - wanawake na maendeleo
Kila unaposikia wanawake wakihamasishana aidha kwenye siku ya wanawake duniani au kwenye mikutano lazima utausikia wimbo huu..

3. Ferooz - starehe
Kila utakaposikia watu wakihamasisha kuhusu kujikinga na ukimwi basi utapigwa wimbo huu,iwe siku ya ukimwi duniani au kwenye matamasha ya ukimwi.

Kwahiyo kwako wewe mr blue ni rapper??.. yani ku Rapp nyimbo mbili sijui tatu ndio amekua rapper of all time?.. sio mzima wewe tena sitaki hata kumalizia kusoma maana nikiendelea kusoma utanikera tu huko mbele
 
AKILI ZA 2017
Yaani unampa Mr Blue U RAPPER wa Mda wote Bongo??
Upo serious na hayo MAONI yako??
 
Kwangu hawa ndio wasanii wanaostahili heshima
1.diamond platnumz
2.dully Sykes
3.professor jay
 
Back
Top Bottom