Hot Gossip in town: Tetesi zinasema Meninah na Diamond waanza vikao vya harusi

Winnie227

Member
Jun 21, 2013
86
41
Haya jamani habari zisizo kuwa na uhakika zinasema Diamond na Meninah kuoana soon na vikao vya harusi viko chini ya usimamizi wa mama Naseeb na Queen Darleen.

===============

Habari mpya zinasema kuwa vikao vya harusi ya Diamond na Meninah ambaye ni mwanamuziki wa Bongo fleva vimeanza kimya kimya nyumbani kwa mama Diamond huku mmoja wa wahudhuriaji wakiwa ni mama Diamond mwenyewe na Queen Darling ambaye ni dada wa Diamond.

Kwa mujibu wa Baabkubwa magazine paparazzi wake alienda nyumbani kwa Diamond hivi juzi kati kufanya nae mahojiano hata hivyo hakumkuta Diamond lakini alimkuta mmoja wa watu wake wa karibu ambaye yupo pia upande wa Wema Sepetu.

Chanzo hicho kilimwaga news kuwa hakuna cha ndoa ya Diamond na Wema bali ndoa inayopangwa kwasasa ni ya Diamond na Meninah na vikao vimeanza kwa mama Diamond.

Chanzo hicho kilisema kuwa Diamond na Meninah walikutana takribani miezi mitano iliyopita wakati wa maandalizi ya tuzo za Kili Awards 2014 ambapo wote walitumbuiza.

Baada ya hapo wakaingia mapenzini kimya kimya mpaka wiki za hivi karibuni gazeti moja lilipovujisha habari hizo za mahaba ya Diamond na Meninah na media nyinmgine kuziandika kwa kasi.


Chanzo : Baabkubwa Magazine
 
Acha huo use nge .tafuta wakina kadinda ndio uwaambie huo ujinga wako. yaaani kazi imewashinda mmebakia kuunda matukio pamoja na kaka yake menina (ATIK). mbaf sana . kinyambe nn?
 
yaani huna uhakika au ndo umekuja kumpaish bosi wako maana hap kati hajaongelewa mda kweli tumemchoka
 
Cheap publicity

Mwambieni baba ubaya na mameneja wake watafute mbinu nyingine hii imeshapitwa na wakati
 
Back
Top Bottom