Unamkumbuka msanii DOKII?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Hivi huyu sasa anafanya nini nakumbuka alikuwa naigiza kwa kiswahili chake cha Kenya.

Aisee! ilikuwa raha na ni mrembo hasa...

attachment.php

DOKII.jpg IMG_2625.jpg
 
Attachments

  • dokii2.jpg
    dokii2.jpg
    77.7 KB · Views: 963
Siku hizi ni mwimbaji na ana kundi lake la wasanii. Nilimuona akitumbuiza wimbo kwa wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma wakati Kikwete anataeuliwa na Chama chake kuwa Mgombea urais kupitia CCM.
 
Jana alikuwa akiwachekesha watu wa CCM akina Makamba walipokuwa wanawaomba yanga na simba washiriki kwenye mkutano wa kampeni
 
Siku hizi ni mwimbaji na ana kundi lake la wasanii. Nilimuona akitumbuiza wimbo kwa wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma wakati Kikwete anataeuliwa na Chama chake kuwa Mgombea urais kupitia CCM.

Msanii Ummy Wenceslaus (Dokii) akitumbuiza Jana mchana jijini Dar es salaam mbele ya baadhi ya wanachama waliofika katika Ofisi Ndogo za CCM kuwalaki wagombea wao mara baada ya Rais Kikwete na Mgombea Mweza Dkt Bilal kurejea kutoka Tume ya Uchaguzi ambapo alikuwa wamerudisha fomu za kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu ujao.
 
Naona vijana 'mapaja' hayo yanawazingua! Huyu demu nasikia alipelekwa kusoma na MENGI huko bondeni!:A S 8:
 
duuu kama anaimba kama Kamata alivyokuwa basi tena kwisha kazii na hyo mapaja yake ya kichina ndio kabisaaaa wakora wa sisiemu watamchangamkia mbaya.
 
Siku hizi ni mwimbaji na ana kundi lake la wasanii. Nilimuona akitumbuiza wimbo kwa wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma wakati Kikwete anataeuliwa na Chama chake kuwa Mgombea urais kupitia CCM.

Huenda nae anasubiri kuingia mjengoni pale watakapoanzisha viti maalum kupitia "WATUMBUIZAJI"
 
Huyu si alishakuwa mpendwa? Anakaa kule Kigamboni siku moja laikuwa nanhojiwa akasema sasa yy anaimba injili!
Aman kweli huyu ni msanii!
 
Huyu si alishakuwa mpendwa? Anakaa kule Kigamboni siku moja laikuwa nanhojiwa akasema sasa yy anaimba injili!
Aman kweli huyu ni msanii!
Hana upendwa wowote anatoka na mgombea fulani wa ubunge wa huku kwetu tena huyo mgombea ni mume wa mtu
 
NJAA itawamaliza watanzania,mbona hana msimamo wa Maisha?mara nyimbo za Injili...mara filamu za Ajabu,sasa hivi mpiga debe wa Kampeni CCM??after uchaguzi what next??:confused2:
 
Dokii huyuhuyu wa Castory Komba! Au ni mwingine so mnamaanisha hawako tena katika uhusiano if anajirusha na huyo mgombea fulani kama mmoja alipotujuza? Au tayari Dokii(binti mlokole) kashamwagwa na Caz T. Au inakwaje... Yuko kikampeni zaidi...
 
duuu kama anaimba kama Kamata alivyokuwa basi tena kwisha kazii na hyo mapaja yake ya kichina ndio kabisaaaa wakora wa sisiemu watamchangamkia mbaya.

unafikiri hapo alipofika mkuu wakora wa sisiem hawajamchakachua? huyo kwisha habari yake
 
Back
Top Bottom