BINAFSI: Wasanii Wote yalaiti Wangejua Kuchekesha kama Mkuu, "AGGREY MWANRI" Tanzania tungekuwa mbali sana.

Best Daddy

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
759
1,284
Nianze kwa Pongezi Kwa aliye Mteua Mkuu Wetu Wa Tabora(Toronto) , Mungu Ibariki Tanzania.

Aisee huyu jamaa amekuwa Maarufu sana Tanzania kutokana na hii fani yake ya uchekeshaji na sio Kipaji cha Uongozi, Kawazidi mpaka wale Wote wenye fani Zao.

Aisee popote anaposimama watu ni "Woyooo Woyoo" na full vicheko.

Daah huyu jamaa anajua sana na anatumia misemo inayoishi😂

"Jifanye unajikuna"... Sukuma ndani" mishawasho" soma hiyo"... Soma ukilejea na sauti yake.
 
Back
Top Bottom