G_real
JF-Expert Member
- Aug 23, 2019
- 684
- 851
Huyu kijana naona anazidi kushuka mdogo mdogo yani yeye na management yake yoote Ni watu wa ovyo saaana.juzi kaiba clip ya dancer wa Nigeria ambayo walikua wanacheza nyimbo ya zlatan.yeye akaichukua na kuingizia nyimbo yake mpya ya kushoto kulia ili ionekani imepasua anga zaidi akajua watanzania Ni mafara.wakaamua kumtagg yule bidada aliyecheza hile clip na alifika na kucomment kuwa Nani haliye mruhusu kuingizia nyimbo yake bira ruhusa.