CNN: Diamond Platnumz is taking Bongo Flava global

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761
Ninapoona mambo kama haya huwa sijutii kuwa supporter wa Diamond Platinumz.

Na hata ninapoona kuna nguvu fulani ya kutaka kumkwamisha huwa naumia sana.

Ni vile tu muziki si mchezo wa soka ila kama ingekuwa soka basi Diamond ingekuwa ni timu ya kujivunia sana.

Katika mtu ambaye amejitahidi kuipaisha Tanzania kupitia kipaji chake, Diamond iis the best.

Kufika mahali hadi media za kimataifa ambazo hazijihushi na masuala ya muziki kama CNN zikakaa chini zikaona zikifanya interview na Diamond hawatakuwa wamechezea muda wao hakika ni jambo ambalo Diamond na kila Mtanzania mpenda maendeleo anapaswa kujivunia.

Hapa chini ni post ya CNN kuhusu Diamond.

_20170207_211501.JPG
 
Amanunua air time CNN si unajua ujanja ujanja. How come Ali Kiba ashaimba na R. Kelly lakini hawamuoni? Hizi ni fitna za waziwazi
Kwani Alikiba pekee ndiye aliyeimba na R Kelly?
Tuambie kwenye ile collabo yule mkenya na wale wengine wapo wapo wapi na status yao kimuziki imeshuka au imepanda..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom