barabaraya18
Senior Member
- Sep 18, 2006
- 106
- 8
Kwa sababu naona kaamua kuchukua hatua za AJABU kudeal na WAKUBWA serikalini, na hii inapelekea baadhi ya watu kujiuliza huyu mtu ni nani? na yuko pale Tanzania kwa faida ya nani? na je kisheria anaruhusiwa kuweka hizi detail wazi namna hii?
Kama hii kesi ikienda MAHAKAMANI nadhani its fair kwa wakili wa mtuhumiwa kuomba MISTRIAL kwani tayari keshahukumiwa kabla ya kesi kusikilizwa,vile vile huyu JACK PEMBA kwa hii spidi aliyokuja nayo inanifanya niseme kuwa serikali yetu imekuwa kama mtoto mdogo inaburuzwa LEFT & RIGHT na watu ambao kwa sababu wanapesa bas, hakuna nayezingatia kuwa tuna sheria zetu ambazo zinatakiwa kuheshimiwa, Sasa naona kashawaweka mfukoni watu wa serikali sasa cha kujiuliza thsi this the new KAJUMULO?
Kwa mtu ambaye ni RAIA WA UINGEREZA najuliza hivi hata kibali cha kufanya kazi TANZANIA anacho? Je huko UK ni kawaida kuaanika wakabaya wako kwenye website yako kijinga jinga namna hii?