Wasanii waliojitunisha kwamba hawawezi kupanda usafiri wa umma mambo yakigoma huenda wapi?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
WanaJF,

Maisha huwa kuna kupanda na kushuka. Kuna baadhi ya wasanii wamejimwambafai kuwa hawawezi kupanda usafiri wa umma; yupo radhi aombeombe kila sehemu ili apate fedha ya bajaji ajifiche humo kuliko kuwa wa kawaida kama walivyokuwa wakina Mzee Small, Majuto au akina TX Moshi, lakini wasanii hawa wakizazi kipya huwa hawataki kukubali maisha yao ya wakati walionao. Hivi wanakwama wapi wanaoendekeza mambo hayo?
 
Wengi wana madeni kwa madreva wa bodaboda, wengine safari zao hutoka usiku huku wamejifunika kofia mfano PASHA.

Serikali iwaonee huruma wawatengenezee mfumo wa kulinda kazi zao, ili wanufaike na kipato chao.
 
Ukiwa msaniii au celebrity yoyote halafu ujichanganye na watu basi ndio mwanzo wa kifo chako kisaniii. Haiwezekani msanii nakutana naye Kariakoo kila siku halafu kesho atangaze tamasha niwe na hamasa ya kwenda.

Msanii anatakiwa aishi maisha tofauti asizoeleke kabisa.
 
Kumbe unaakili eeh??!
 
Maana ya kuwa msanii ni kila mtu atamani kuwa na maisha yako

Mfano mzuri ni huyo Diamond, alijitofautisha ili kuwa msanii mkubwa ni kutembea na wanawake wote wazuri ambao kila mtu anawatamani, na kwa kuwa maana ya msanii ni kuwa na maisha ambayo kila mtu anataman basi jina lake likawa kubwaa saana

Hao akina majuto zembwera nk, ni watu wanaosikika kama wasanii ila hawaishi kisanii, ata nyota yao ni tofaut kidogo, ni wale ambao unaweza kukuta wanabishana na makondacta au wauza duka
Inshot ni kuna wasanii ambao hawaishi kisanii na kuna wasanii wanaolazimisha kuishi kisanii, sasa wale wanaolazimisha kuishi kisanii wanajitambua level waliopo ila hawana hella ya kuwawezesha kuishi level ya kisanii, apo ndo gurudumu lililojazwa maji
 
Maana ya kuwa msanii ni kila mtu atamani kuwa na maisha yako

Mfano mzuri ni huyo Diamond, alijitofautisha ili kuwa msanii mkubwa ni kutembea na wanawake wote wazuri ambao kila mtu anawatamani, na kwa kuwa maana ya msanii ni kuwa na maisha ambayo kila mtu anataman basi jina lake likawa kubwaa saana

Hao akina majuto zembwera nk, ni watu wanaosikika kama wasanii ila hawaishi kisanii, ata nyota yao ni tofaut kidogo, ni wale ambao unaweza kukuta wanabishana na makondacta au wauza duka
Inshot ni kuna wasanii ambao hawaishi kisanii na kuna wasanii wanaolazimisha kuishi kisanii, sasa wale wanaolazimisha kuishi kisanii wanajitaEtmbua level waliopo ila hawana hella ya knuwawezesha kuishi level ya kisanii, apo ndo gurudumu lililojazwa maji
Point kabisa ila sasa wanapoishiwa usanii, au mambo yao kubuma kwa nini hawajitune tena kurudi awali
 
Ukiwa msaniii au celebrity yoyote halafu ujichanganye na watu basi ndio mwanzo wa kifo chako kisaniii. Haiwezekani msanii nakutana naye Kariakoo kila siku halafu kesho atangaze tamasha niwe na hamasa ya kwenda.

Msanii anatakiwa aishi maisha tofauti asizoeleke kabisa.
Dah kuwa msanii n kazi ya ziada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom