Dizain kama umaarufu wa Zari na Mobetto umeanza kufifia hivi

Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,577
3,143
Nadhani mtakubaliana na mimi mwanamama Zari umaarufu wake hapa Bongo umeanza kufutika; she is no more talk of the town, same to Hamissa Mobetto, washaanza kuwa old skulz.

Nadhani either kutokana ugumu wa maisha, Wabongo wanasugua vichwa namna ya kupata mkate wa kila siku, au wingi wa matukio ya kisiasa.

Lakini kubwa nadhani ni kutokana na Diamond kuacha kabisa kutupiana tupiana vijembe na hawa wanawake, maana umaarufu wao ulikua unapitia kwenye mgongo wake.
 
ukiwa na drama na diamond lazima uwe maarufu. hadi wafanyakazi wa zamani na wa sasa wa diamond ni maarufu..

kina kifesi. mwarabu etc..

zari na hamisa wote walibebwa na diamond..

diamond kuachana nao tu.. umaarufu wao unapungua
 
sasa hivi nyota inamuwakia Lukamba,Kenny,Angel Nyigu etc
 
Juzi nilimuona mahali hilo wazo likanijia, kweli Zarina umaarufu wake umeisha kabisaaa, licha ya interview kali na Ayo tv lakini wapiiii wabongo wamegoma kutoa kiki....

Ngoja aje yule msukule wake wa jf kumtetea,
 
Nadhani mtakubaliana na mimi mwanamama Zari umaarufu wake hapa Bongo umeanza kufutika; she is no more talk of the town, same to Hamissa Mobetto, washaanza kuwa old skulz.

Nadhani either kutokana ugumu wa maisha, Wabongo wanasugua vichwa namna ya kupata mkate wa kila siku, au wingi wa matukio ya kisiasa.

Lakini kubwa nadhani ni kutokana na Diamond kuacha kabisa kutupiana tupiana vijembe na hawa wanawake, maana umaarufu wao ulikua unapitia kwenye mgongo wake.
Umaarufu ni mzigo tu.

Kila siku uandikwe magazetini. Ukipiga chafya tu ushapigwa picha na watu wameandika makala unapigaje chafya.

Kuna mtu anaitwa Amancio Ortega, billionea wa Kihispania, yupo kati ya watu watano wenye hela zaidi duniani.

Yeye anasema hataki kujulikana sana, anapenda awe na uwezo wa kwenda kwenye mgahawa kunywa kahawa yake taratibu bila watu kumjua wala kumsumbua.

Wakimjua matatizo tupu, wengine watataka kuleta shobo, wengine watataka kudanga, wengine watataka kumteka, wengine watataka kupiga naye selfie.

Ndiyo maana mabilionea hatutaki kujulikana (jivin').
 
Aah aah aah eti msukule wake Cha ajabu huyo msukule wake hamfunguliani uzi?
 
Nadhani mtakubaliana na mimi mwanamama Zari umaarufu wake hapa Bongo umeanza kufutika; she is no more talk of the town, same to Hamissa Mobetto, washaanza kuwa old skulz.

Nadhani either kutokana ugumu wa maisha, Wabongo wanasugua vichwa namna ya kupata mkate wa kila siku, au wingi wa matukio ya kisiasa.

Lakini kubwa nadhani ni kutokana na Diamond kuacha kabisa kutupiana tupiana vijembe na hawa wanawake, maana umaarufu wao ulikua unapitia kwenye mgongo wake.

Kitendo cha kuwakumbuka hata thread ni ishara tosha kwamba bado ni watu wenye harufu maarufu
 
Umaarufu ni mzigo tu.

Kila siku uandikwe magazetini. Ukipiga chafya tu ushapigwa picha na watu wameandika makala unapigaje chafya.

Kuna mtu anaitwa Amancio Ortega, billionea wa Kihispania, yupo kati ya watu watano wenye hela zaidi duniani.

Yeye anasema hataki kujulikana sana, anapenda awe na uwezo wa kwenda kwenye mgahawa kunywa kahawa yake taratibu bila watu kumjua wala kumsumbua.

Wakimjua matatizo tupu, wengine watataka kuleta shobo, wengine watataka kudanga, wengine watataka kumteka, wengine watataka kupiga naye selfie.

Ndiyo maana mabilionea hatutaki kujulikana (jivin').
Hii sentensi ya mwisho ina ukakasi
 
Kila kitu na wakati wake usipotumia nafasi vzr unaishia kuwa kama sepenga
 
Back
Top Bottom