Tanzia: Msanii Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' afariki dunia

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Aliyekuwa Msanii wa Muziki, Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' amefariki dunia leo mchana Novemba 28 katika hospitali ya Mloganzila Mkoani Dar.

1.JPG

Kwa mujibu wa mtoto wa Msanii huyo mkongwe, aliyefahamika kwa jina la Adam Juma amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo.

Bibi Cheka aliyekuwa chini ya Kundi la Wanaume TMK alipata umaarufu mkubwa kwa kuwa Mwanamuziki wa Kike mwenye umri mkubwa kuimba muziki wa Bongo Fleva.

Alipata umaarufu zaidi katika wimbo wake wa 'Ni Wewe' aliomshirikia Msanii kutoka Wanaume TMK, Temba lakini pia alishawahi kutoa wimbo na Msanii Marehemu Godzilla ulioitwa 'Good baba Fela'.
 
Poleni wafiwa.
Poleni TMK family,

Sina cha kumwambia marehem maana najua hasikii kwa sasa.

Mloganzila wanatibu MOYO?
 
Aliyekuwa Msanii wa Muziki, Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' amefariki dunia leo mchana Novemba 28 katika hospitali ya Mloganzila Mkoani Dar.

Kwa mujibu wa mtoto wa Msanii huyo mkongwe, aliyefahamika kwa jina la Adam Juma amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo.

Bibi Cheka aliyekuwa chini ya Kundi la Wanaume TMK alipata umaarufu mkubwa kwa kuwa Mwanamuziki wa Kike mwenye umri mkubwa kuimba muziki wa Bongo Fleva.

Alipata umaarufu zaidi katika wimbo wake wa 'Ni Wewe' aliomshirikia Msanii kutoka Wanaume TMK, Temba lakini pia alishawahi kutoa wimbo na Msanii Marehemu Godzilla ulioitwa 'Good baba Fela'.
Inna lillah wa ilahi rajiun, bibi Cheka ameteseka peke yake na familia yake sasa ni kipindi cha wapenda umaarufu kutoa mapesalukuki
Aliyekuwa Msanii wa Muziki, Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' amefariki dunia leo mchana Novemba 28 katika hospitali ya Mloganzila Mkoani Dar.

Kwa mujibu wa mtoto wa Msanii huyo mkongwe, aliyefahamika kwa jina la Adam Juma amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo.

Bibi Cheka aliyekuwa chini ya Kundi la Wanaume TMK alipata umaarufu mkubwa kwa kuwa Mwanamuziki wa Kike mwenye umri mkubwa kuimba muziki wa Bongo Fleva.

Alipata umaarufu zaidi katika wimbo wake wa 'Ni Wewe' aliomshirikia Msanii kutoka Wanaume TMK, Temba lakini pia alishawahi kutoa wimbo na Msanii Marehemu Godzilla ulioitwa 'Good baba Fela'.
Inna lillah wa inna ilahi rajiun, bibi Cheka ameteseka kwa maradhi mpaka ametutoka akiwa mpweke, sasa ni wakati wa wapenda umaarufu kujitokeza na mapesa lukuki kutoa rambirambi wakati hayatomsaidia tena
 
Baada ya kuugua kwa muda mrefu, hatimaye Bibi Cheka ameimaliza Safari yake ya duniani.
Bibi Cheka alikuwa ni msanii wa muziki wa kufokafoka wa Bongo Flavor.
Mungu amlaze pema marehemu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom