Video ya“Kushoto , kulia “ wameiga Baba Lao

Randy orton

JF-Expert Member
Apr 29, 2019
1,338
3,541
Kwa style hii Mondi atabaki mawinguni miaka 800..

Ukiangalia video mpya ya Harmonize baadhi ya scenes/shots ni zile zile za kwenye nyimbo ya Baba Lao zimerudiwa save to trivial changes.


Sasa nashindwa kuelewa huyu mtu amerudia kwa makusudi ili aongelewe au ndio yeye na Director wa hiyo Video hawana ubunifu?

Kwa style hii, yale majinga ya kule mawingu yanaexpect huyu Rajabu ndio wakumuangusha Diamond platnumz kwelii!!!
 
Tabia ya Harmonize kumuiga Platnumz kwa karibu kila kitu (aka mule mule) itafanya baada ya kipindi kifupi watu wachoke ngoma zao wote wawili!!!!. Harmo anatakiwa aje na ubunifu wake mpya kama Platnumz anavyojitahidi kutoa ngoma zenye miondoko tofaut
 
Video kweli ina maidhui ya Kanyaga na Baba Lao baadhi ya Scenes. Kwahiyo Ubunifu na uniqueness 2/10.

Jamaa ana safari ndefu sana.

Nimesoma comments za YouTube watu wanasema “best video of the year” ila ndani moyoni wanajua kua hii ni cheaper version ya Baba Lao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom