Alikiba anajiita GOAT eti

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,097
10,998
Screenshot_20191209-222739.jpeg
 
Kiba n mzee wa kuiba ..hata Ile "Ye Baba" ni ya kina mandojo na domokaya
Hiyo goat n ya fid q

Ndugu yake dimpoz naye Ile PKP (Poz kwa poz)
Ni km alicopy
Kwa Maujanja supplier wazee wa Pasu kwa Pasu PKP
Kwa akili yako pasu kwa pasu na Pozi Kwa Pozi ni maneno sawa....



Unaelewa maana ya GOAT Yaani GREAT OF ALL TIME ??? HaKUna kiumbe duniani kinachojimilikisha Hilo neno...



Unaonekana una akili za kuvukia zebra
 
Acheni fikira hasi...GOAT ni neno ambalo lina wasifu wa Greatest of all time.... hili ni neno halina hati miliki kwa mtu yeyote...hata wewe unaweza ukajiita hivyo..endapo tu kama utajiona kuwa unasifa zinazo stahiki Kuitwa/kujiita hivyo...

Ila sasa tukizungumza katika ukweli Sio fid q wala ali kiba ambaye ana,stahiki hiyo kofia ya hilo neno...Hilo ni neno kubwa sana...na linatumika kwa watu wakubwa walioweza kuleta michango mikubwa dunia nzima.
Kiba n mzee wa kuiba ..hata Ile "Ye Baba" ni ya kina mandojo na domokaya
Hiyo goat n ya fid q

Ndugu yake dimpoz naye Ile PKP (Poz kwa poz)
Ni km alicopy
Kwa Maujanja supplier wazee wa Pasu kwa Pasu PKP
 
Hapana sio Sawa yeye kujiita great of all time hajaacha alama yoyote ya kukumbukwa kwenye mziki watu Kama Lionel Messi ni sahihi kujiita GOAT kafanya mengi kwenye soka kachukua tuzo za dunia nyingi kulko mchezaji yoyote sasa Huyu wa Tz anaejiita Mbuzi kwa lipi?
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom