Kwa sisi wakosoaji wa mastaa

herman joshua

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,962
3,189
Kunaile tabia ya kutoa comments kwenye kurasa za kijamii hususani kwa mastaa haswa pale wanapofanya mambo yanayoonekana kuwa kinyume na imani zetu mara nyingi unakuta tunawakumbusha utaona mtu kakoment "mkumbuke Allah ipo siku utakufa"

Unajisahau kwamba na ww ni mtenda dhambi mkubwa kabisa we ndo unaongoza kwa kuzini
We ni mwizi na mnafki mkubwa
we ni muongo wa kutupwa pamoja na kuudhuria makanisani na msikitini

Sio mbaya kukumbushana ila hata biblia inasema uliondoe boliti kwenye jicho lako ndipo ukamsafishe na jirani yako
usione mwenzako mkosaji kuliko mwenzako zambi hho unayoiona n ndogo ndiyo itakayo kurudisha peponi
 
Back
Top Bottom