Nilitarajia Rayvanny na Diamond wangepokelewa na Mh Sugu kama mwenyeji

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Mh Mbilinyi mimi naamini yeye ndio alikuwa na sifa za kumpokea kijana.
1. Mbunge.
2. Msanii mwenzao

Kivyovyote wangeongea lugha moja inayofanana, lakini nimeshangaa Dr. Tulia ndio mwenyeji.

Kama unakumbukumbu Ray kafanya sampo ya wimbo wa Sugu unaitwa SUGU.

Inaonyesha wako pamoja sana lakini maajabu sijajua kwanini hajaalikwa.

Au ndio mbio za kuchukua jimbo la Mbeya Mjini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WC

WCB ni TAKATAKA ya CCM.
 
Siasa waachie wanasiasa mjini unamfata mwenye maslahi nawe
 
Ninavofahamu Sugu yuko Dsm akihangaika na kesi za wenzake/viongozi wa CDM. Wakati mwingine ni vyema kujiridhisha na tarifa zilizopo kuliko kujiharakisha kwenye kurusha lawama.
 
Huyu amefanya mashabiki wajigawe alivyoingiza usiasa na mziki

Imshort ni kwamba Jamaa anaunga juhudi

Wanyakyusa na wasafa lazima walienda kwa wingi si naskia walipewa shavu la promo kuingia bure pale sokoine
 
Show ya kisengerema Sana..rayvanny hakuna la maana alilofanya kazi kuwachosha tu watoto wa mbeya Mara kuwasha tochi Mara wazime...vya bure karaha aisee..Cha kushangaza boss wao ndiyo anaperfom show ndefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mara nyoosheni mikono juu drone iwapige picha,mara wekeni mikono mashariki-magharibi hizi shoo za bure bure ili uenjoy huko uwanjani labda uwe umepiga kitu cha mneri/jani kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu amefanya mashabiki wajigawe alivyoingiza usiasa na mziki

Imshort ni kwamba Jamaa anaunga juhudi

Wanyakyusa na wasafa lazima walienda kwa wingi si naskia walipewa shavu la promo kuingia bure pale sokoine
Yuko anamsifia Naibu Spika(Mpinzani wa Sugu 2020),huku akimsiifia Magu kinoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom