BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Congrats to brother and my role model Zitto Kabwe.
Hongera sana Mh Zitto Kabwe,Mungu aendelee kuwasimamia na kuwaongoza vyema ktk kumuongoza na kumlea ktk maadili mema Bi Josina
Hongera kwa mshedede unaofanya kazi baarabaara
Wow! Hongera zake sana Mhe. Z.Z.K
Mawazo yetu yame coincidesiku zinakimbia miezi tisa sasa imepita tangu waowane?
hingera sana Mh.
Hapa ni JF, hata kama umeamka na hasira zitakwisha tu.Bwana mdogo umekwenda mbali sana........ungempa tu hongera ingetosha.....
siku zinakimbia miezi tisa sasa imepita tangu waowane?
hingera sana Mh.