Msemaji wa Klabu ya Simba Kamarada Haji Manara Kusherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa Jumatatu ya tarehe 18 Januari 2021

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,199
4,669
Hongera kwake

Kwa kuzingatia ushauri wa mkewe kipenzi ameahidi kutumia siku hiyo muhimu na watoto wenye uhitaji maalumu nchini badala ya kufanya sherehe kubwa na za anasa

Nampongeza sana Ndg Manara kwa kuwa karibu na mke wake
 
Kweli kila mtu na mazoea yake, katika vitu sina hobby navyo ni kufanya sherehe ya siku ya kuzaliwa.
Sijui ni ushamba nilionao au nimechagua kuishi kizamani.

Mara nyingi maadhimisho ya birthdays hufanywa na wanawake au watu kutoka familia bora, lakini ajabu siku hizi wanaume kabisa nao wanamwagiwa Maji eti birthdays🙆

By the way Happy birthday in advance Simba SC spokesman
 
Haji anagonga 60 acha aburudike!
 
Hongera kwake

Kwa kuzingatia ushauri wa mkewe kipenzi ameahidi kutumia siku hiyo muhimu na watoto wenye uhitaji maalumu nchini badala ya kufanya sherehe kubwa na za anasa

Nampongeza sana Ndg Manara kwa kuwa karibu na mke wake
Itafanyika uwanja wa taifa. Wanasimba tunatakiwa kujitokeza kwa wingi.
 
Back
Top Bottom