Kazaliwa Marekani Ana miaka 64 Ni muAdventist Ni mwandishi mzuri sana sio kwamba nampigia promo,hapana isipokuwa mahubiri yake yamenivutia Sana hasa katika program yake ya amazing facts show...
Habar Wana Jamii Forums
Leo nimeona nijaribu kutoa wazo langu juu ya Mambo yanayoendelea Nchini kwetu juu ya bondia wetu Mzalendo Alie kataa kupeperusha bendera ya nchi nyingine ambazo ni nzuri...
Nataka tumzungumzie kidogo huyu fundi muziki kutoka WCB yaani Rayvanny aka Chui.
Rayvanny ni msanii anaeujua muziki haswa na anaweza kuufanya muziki vile anavyotaka. Kipaji chake sio cha nchi...
APRILI 8, 2012, ilikuwa Pasaka. Wakati huo nilikuwa Mhariri Mwandamizi wa magazeti ya Global Publishers LTD, vilevile Mratibu Mkuu wa Matukio wa kampuni. Na kwa nafasi hiyo, pia nilikuwa Mwandaaji...
Tasnia ya utengenezaji wa video za wasanii wa Bongo fleva imeanza kitambo sana.
Kumekuwa na Directors wengi lakini mapinduzi ya video yamekuwa yakifanywa na Directors ili kuanzisha either trend...
Kuna interview Chid kaongea point ya kufikirika kujitetea kuwa yeye ni mzuri kwenye freestyle kuliko Ngwea.
Vigezo alivyotumia ni kwamba Ngwea anachana polepole kitu kinachompa mda wa kufikiria...
Duh Hii Ndiyo Kik Ya Mwaka: Harmonize Feki Aaamua Kutoka na Wolper Feki Ili Wafanane na Harmonize Halisi,Tazama Pichaz Hapa..!
Msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na...
Habari.
Hivi karibuni waandishi na wachambuzi wa soka wamekuwa wakimuogopa sana Haji Manara jambo ambalo nilikuwa naliona kwa mbali sana lakini kwa sasa limekuwa kubwa sana kiasi kwamba...
Kutokana na kufanana huko amesema amejiingiza kwenye muziki na inamsaidia, hata wasichana mtaani anawang'oa sana kwa sababu ya mfanano huo na kuna label ya muziki imemchukua kutokana na mfanano wake
Hakika hakuna kitu nilichochukia na ninachoendelea kuchukia kama kusainishwa na kuendelea kumuona Lavalava WCB.
Huyu muimba kaswida hafai kabisa kuwepo ndani ya kundi na tangu aingie WCB anazidi...
Hata kama ni utafutaji sio kihivyo,haya mambo mengine tuachieni sisi tusiokuwa na majina mjini,vijana wa Madale mkipiga shoo moja mnavuta milioni kadhaa sasa hizi njaa za elfu 7 mara elfu 4...
Hawa vijana wa Wasafi(WCB)huwa hawakosei kabisa kwenye kuchagua warembo wa kupendezesha video zao,mida hii nimepata nafasi ya kukiona kichupa cha Lava lava "tuachane"kichupa kiko bomba na huyu...
Huyu mtangazaji nguli, mwenye weledi mzuri na uelewa mpana wa mambo. Mtoto mwenye swaga classic na pisi kali hapa mjini kwenye makazi ya ndugu yetu Paulo mwana wa Makonda.
Nakumbuka alipata kuwa...
Kabla sijafuatilia historia yake sikuwahi kujua kama anatimiza miaka 31 mwaka huu.. Anaonekana ni mdogo, ni kama hakui hivi.
Shin Se Kyung ndio jina lake na of course ameigiza series nyingi sana...
Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM.
Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi...
Hatimaye siri imefichuka baada ya Rich Mitindo kuweka picha ya mpenziwe mwigizaji na mfanyabiashara Jackqueline Wolper akiwa na 'kibendi'. Wolper ambaye imekuwa ikisemwa ana ujauzito licha ya yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.