Kati ya Chidi Benz na Marehemu Ngwea nani mkali wa freestyle?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Kuna interview Chid kaongea point ya kufikirika kujitetea kuwa yeye ni mzuri kwenye freestyle kuliko Ngwea.

Vigezo alivyotumia ni kwamba Ngwea anachana polepole kitu kinachompa mda wa kufikiria mistari au vina,ila yeye atakachosema tena kwa haraka ni vina,Alieleza kwamba walishindanishwa kwenye club moja ila mashabiki waliamua awe mshindi kwa sababu Ngwea alikuwa anapochana anavuta sana mda wa kufikiria,...Pia kuhusu Godzilla alisema siyo watu wa kutunga papo kwa papo,wanachana polepole ili kupata mda wa kufikiria tofauti na yeye.

Wakuu na wadau wa freestyle mnasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujikumbushie na hii kwanza

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Ngwair ni konyo dingii.
msi mu under rate chidi hivo,,..chidi at his peak alikua ni hatari kijana ulikua unafwatilia mziki kweli 2006_2012 ,,..tuzo zote zake,,freestyle alikua anatisha..ili utoke lazma ufanye nae ngoma..madawa yamepoteza kipaji kikubwa sana pale..nakuambia tena chidi at his peak alikua hatari
 
Watu wakaskize tena speed 120 ile

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Ngwair ndo the king of freestyle all the time bongo
Chidi anauwezo wa Ku flow kwa haraka na pumzi anayo ila kwa upande wa free style simuweki kwa sababu moja tangu enzi hzo hata hajaanza kutumia madawa free style zake anaongea vitu havieleweki yan anaweza akatengeneza vina kwa kuweka neno ambalo hali make sense ..
Kwa mtazamo wangu mm kibongo bongo
Wakali wa free style ni
Albert mangwair ( ngwair)
Golden Jacob ( God zilla)
Nikki mbishi

Chidi simuhesabii kama free styler coz akiwa anafanya free style haeleweki ...anaongeza maneno mengi ambayo hata kwenye kiswahili au kingereza hayapo tofauti na hao wengine ambao waki Fanya free style unaweza ukamskiliza na ukaelewa

From profile picture to proper future
 
msi mu under rate chidi hivo,,..chidi at his peak alikua ni hatari kijana ulikua unafwatilia mziki kweli 2006_2012 ,,..tuzo zote zake,,freestyle alikua anatisha..ili utoke lazma ufanye nae ngoma..madawa yamepoteza kipaji kikubwa sana pale..nakuambia tena chidi at his peak alikua hatari
Alikua hatar kwenye nini ..hapa tunazungumzia wakali wa free style ...chidi n mkali wa Ku flow ...na ana pumzi ya kutosha ...ila kwa upande wa free style simuweki

From profile picture to proper future
 
Mangwea alikuwa level nyingine. Kuvuta ni style yake ya flow lakini pia ni genius. Kwenye mashindano ambayo Mangwea alishinda Club Billicanus nakumbuka DJ alimuwekea Mangwea beat ambayo ipo very slow, Mangwea akaanza ku freestyle kumuomba DJ abadili beat (alishuka vina vya hatari) lakini DJ akakomaa na beat yake na Ngwea akaamua kutembea nayo! Ile jinsi Ngwea alivyo switch kwa vina baada ya kugomewa ilikuwa very interesting.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom